TANZIA Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Mkoa wa Mara, Jeswald Majuva afariki dunia

TANZIA Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Mkoa wa Mara, Jeswald Majuva afariki dunia

Jeswald S. Majuva ( RIP )wakati akiwa afisa Ubalozi ktk Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia picha ya Desemba 2013
Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA akiwa na afisa wa Ubalozi Bw. Jeswald Majuva (kulia) wakati walipokutana na waigiza sinema Hemed kutoka Tanzania na Cassie Kabwita wa ZAMBIA
 
Hata Rais,humjui kabisa?
Wewe ndiyo katibu wa UN au,na naandika ukiwa Lithuania nini?
 
Kwenye hiyo picture wote isipokuwa JPM wamekufa. Ewe mwenyezi Mungu wajalie pepo njema na utupe afya njema wote tulio hai siku ya leo ili tuendelee kukuabudu wewe. Amen.
Duh
Wote wa Mwenye enzi Mungu na kwake tutarejea
 
Nadhani ndo lengo mahsusi la hii thread kwa sisi mabingwa wa kufikiria nje ya boksi...
... kati ya picha ambazo zimewaacha mataga vinywa wazi ni ya post hii; ule ujinga wa sijui ni photoshop, sijui nini hakuna aliyethubutu "kuharisha" kwenye hii thread. Wote kimya kama vile somo linataka kuwaingia! Teknolojia aka sayansi hatari sana.
 
TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.

View attachment 1723529
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake

View attachment 1723614
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
... kwenye hii hafla mzee wa ule mhimili usiojikita sana alikosekana kweli kuwachamba wapinzani?
 
... kati ya picha ambazo zimewaacha mataga vinywa wazi ni ya post hii; ule ujinga wa sijui ni photoshop, sijui nini hakuna aliyethubutu "kuharisha" kwenye hii thread. Wote kimya kama vile somo linataka kuwaingia! Teknolojia aka sayansi hatari sana.
Mataga wameshapoteana we hushangai ntu kama Waziri au IGP hajui Rais wa nchi yuko wapi..si uzwazwa huo.
 
Kutoka Ikulu Katibu wa Rais hadi Katibu tawala msaidizi Utawala na rasilimali watu nadhani hiyo ni kupigwa teke kubwa haswaa.Huyu alikuwa akisimama kando wakati mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanapoapishwa.

Hakika ndugu yetu alikuwa mzoefu wa corridor za Ikulu leo unapelekwa mkoa wa Mara hii inaweza kuwa sababu kuu ya kifo chake.

RIP Katibu Tawala Msaidizi.
 
Back
Top Bottom