TANZIA Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Mkoa wa Mara, Jeswald Majuva afariki dunia

Kwenye hiyo picture wote isipokuwa JPM wamekufa. Ewe mwenyezi Mungu wajalie pepo njema na utupe afya njema wote tulio hai siku ya leo ili tuendelee kukuabudu wewe. Amen.
Kama walishiriki kuunajisi uchaguzi wetu, basi moto wa milele na uwaangazie na motoni iwe ndio makazi yao aamin.
 
Lakini marehemu hakuwa Katibu Tawala wa mkoa

Mwisho wa siku unajua teuzi za namba hii ni kuwaondoa watu karibu na majiko kutokana na sababu mbalimbali. Kama sikosei Msalika naye alikwenda kuwa RAS, kuna former IC wengi wametupwa huko ubalozini. Watundu kama wakina Nchimbi ndio wakapelekwa huko Latin America. Hata Diwani, ilikuwa kama adhabu baada ya kuzushiwa lakini Mkuu baadae akaja kugundua alikuwa hana hatia yeyote.
 
Ni vile tu hatutoi takwimu, lakini hili dubwana corona limefagia sana wapendwa wetu.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awatie faraja wafiwa, pia wakumbushe watu wasiojulikana kuwa kifo ni cha wote.
 
TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.

View attachment 1723529
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake

View attachment 1723614
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
Bado 1 hapo
 
Hii picha ya mwisho imebeba picha nzito sana
 
Kwenye hiyo picture wote isipokuwa JPM wamekufa. Ewe mwenyezi Mungu wajalie pepo njema na utupe afya njema wote tulio hai siku ya leo ili tuendelee kukuabudu wewe. Amen.
Kuna uzi wa mshana unasema picha huzungumza
 
TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.

View attachment 1723529
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake

View attachment 1723614
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
RIP to all
 
Back
Top Bottom