Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenibariki sana
Mfano mdogo tu, alie kuwa mpambe wa Rais Kikwete wakati ule, Rais alimteuwa (kumpandisha) kuwa Brigedia; na hivyo ilibidi aache nafasi ya upambe. Na akateuliwa mwingine. Unataka kusema ilikuwa demotion? Kisa alikuwa anashinda ikulu na yupo karibu na Rais mida yote.Kwa ujumla ni demotion
Mshana Jr kuna wakati alielezea kuhusu picha na uhusiano wa kiroho.. Hiyo picha ya watu wanne dahTANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.
View attachment 1723529
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake
View attachment 1723614
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
Samia Suluhu aunde serikali ya umoja wa kitaifa, vinginevyo hali hii itazidi kuwa mbaya sana, mioyo ya watu wengi inavuja damu.
Ha ha ha! kufanya kazi serikalini si hoja, hoja ni kujua miuundo ya utumishi. Inaonesha unachukulia miundo ya kizamani. Mambo uenda yakibadilika. Huyo RAO, kwa taarifa yako yuko chini ya Katibu Tawala Msaidizi Raslimali watu ambae ni ASS1. RAO alikuwa ni Afisa Tawala Mkuu au Mwandamizi. Ambaye kwa sasa ni Msaidizi wa Karibu wa ASS1. Huyu akipanda anakuwa ASS1. Au Vyeo wizarani na mkoani vinaweza kwenda kwa pamoja kwani vyote vipo katika utumishi.Nimefanya kazi Serekalini miaka ya kutosha maelezo yako mengi lakini hayana mantiki.Cheo alichokuwa nacho ni sawa na RAO zamani yaani Regional Administrative Officer akipandishwa hapo anapelekwa wizarani kuwa DAP.
Swala si kufanya kazi miaka mingi serikalini. Hoja ni kuelewa miundo na vyeo vya utumishi wa Umma, na protokali katika maswala ya kiutawala. Na hii si wote walio watumishi wa umma ati wanajua miundo yote ya kiutumishi. Nafasi au vyeo ulivyoongelea vilifanyiwa mabadiliko. RAO kabaki kuwa Afisa Tawala Mkuu au Mwandamizi, na nimsaidizi wa karibu wa Katibu Tawala Masaidizi (ASS1).Nimefanya kazi Serekalini miaka ya kutosha maelezo yako mengi lakini hayana mantiki.Cheo alichokuwa nacho ni sawa na RAO zamani yaani Regional Administrative Officer akipandishwa hapo anapelekwa wizarani kuwa DAP.
Katibu tawala mara apo alikuwa anafanya kitu gani?TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.
View attachment 1723529
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake
View attachment 1723614
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
Kwenye hiyo picha ya wanne watatu wamefariki. Chanzo cha kifo ni binafsi. Tuendelee kuchukua tahadhari. Hili gonjwa ni hatari halitaki ubishi na ujuaji.TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.
View attachment 1723529
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake
View attachment 1723614
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
Isipokuwa JPM.Kwenye hiyo picture wote isipokuwa JPM wamekufa. Ewe mwenyezi Mungu wajalie pepo njema na utupe afya njema wote tulio hai siku ya leo ili tuendelee kukuabudu wewe. Amen.
Huyo ni TISSKatibu tawala mara apo alikuwa anafanya kitu gani?
Nimesoma mwanae kibasila Winnie majuvaHuyo ni TISS
Usikute ana maanishaIsipokuwa JPM.
Mark this
HaijalishiKwa ujumla ni demotion