Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Pipi ya ikuluUnaachaje kufa unatolewa ikulu unaenda kanda maalum kuwa sijui msaidizi wa nani, kwa hali ya kawaida utachomoka tu hakuna namna maana sio kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pipi ya ikuluUnaachaje kufa unatolewa ikulu unaenda kanda maalum kuwa sijui msaidizi wa nani, kwa hali ya kawaida utachomoka tu hakuna namna maana sio kawaida
Kutoka Ikulu Katibu wa Rais hadi Katibu tawala msaidizi Utawala na rasilimali watu nadhani hiyo ni kupigwa teke kubwa haswaa.Huyu alikuwa akisimama kando wakati mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanapoapishwa.
Hakika ndugu yetu alikuwa mzoefu wa corridor za Ikulu leo unapelekwa mkoa wa Mara hii inaweza kuwa sababu kuu ya kifo chake.
RIP Katibu Tawala Msaidizi.
Ukiwahi hosp za mabeberu unachomoka mkuuMzigo ukiingia mapafuni kibongobongo hautoki.
Maofisa tawala wote nchini ni kitengo!!Ni kweli.mzee oswald alikuwa kitengo
Ayubu :14:5
Siku za kuishi binadamu zimepimwa; ee, Mungu umeipanga idadi ya miezi yake; hawezi kupita kikomo ulichomwekea.
Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki, Bwana awafariji
TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.
View attachment 1723529
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake
View attachment 1723614
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
Maofisa tawala wote nchini ni kitengo!!
Ukimwonyesha jiwe hii picha tuKwenye hiyo picture wote isipokuwa JPM wamekufa. Ewe mwenyezi Mungu wajalie pepo njema na utupe afya njema wote tulio hai siku ya leo ili tuendelee kukuabudu wewe. Amen.
I agree, Kama hakwenda huko kwa kazi "maalum", demotion yake ilikuwa sio ya mchezo.... kutoka kusimamia viapo vya kila mtu, kwenda kuhangaika na vita za koo huko Tarime!!Kutoka Ikulu Katibu wa Rais hadi Katibu tawala msaidizi Utawala na rasilimali watu nadhani hiyo ni kupigwa teke kubwa haswaa.Huyu alikuwa akisimama kando wakati mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanapoapishwa.
Hakika ndugu yetu alikuwa mzoefu wa corridor za Ikulu leo unapelekwa mkoa wa Mara hii inaweza kuwa sababu kuu ya kifo chake.
RIP Katibu Tawala Msaidizi.
Kuna mtu amekomenti kwenye uzi flani humu kuhusu mtu wa ikulu kufariki kwamba Kama jiwe hatoudhuria msiba it means hizi habari kuhusu yeye zitakuwa za kweliKuwepo kwenye picha ya pili,inaonyesha alikua mtu wa system.
Ngoja tuone hadi mwisho wa hizi habari zisizoaminika na zisizoweza kupuuzwa kiurahisi.Kuna mtu amekomenti kwenye uzi flani humu kuhusu mtu wa ikulu kufariki na Kama jiwe hatoudhuria msiba it means hizi habari kuhusu yeye zitakuwa za kweli
Kuna watu wamemshambulia kuuliza mtu mtu gani wa ikulu aliyefariki Tena kumbe ni huyu mwamba
Naona katika hiyo picha sijui kabaki mmoja ambaye hatujui aliko Mungu amsaidieTANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.
View attachment 1723529
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake
View attachment 1723614
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
Halafu wote watatu inasemekana ni Corona imewalaza mavumbini.So hyo picha ya 2 watatu wote hatupo nao, noma!
Kwa hiyo katika hao wanne waliozunguka meza amebaki mmoja tu ambaye naye kapotea wiki ya pili sasa haonekani. Mungu turehemu. Tusamehe kwa kujisahau kuwa sisi ni wa milele hapa duniani kiasi cha kuwaumiza wengine bila huruma tena ikiwemo kuwapiga risasi mchana kweupe!TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.
View attachment 1723529
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake
View attachment 1723614
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
Ndugu yangu, Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu, ni Cheo kikubwa. Huyu ndiyo namba mbili baada ya Katibu Tawala wa Mkoa. Anakamata mafungu yote ya Mkoa. Yeye ndo msimamizi wa Watumishi wote katika mkoa. Na pia mambo yote ya Protokali. Ikulu alikuwa hana fungu, anasubiri kugawiwa. Ila Mkoani fedha yote inafikia kwake, yeye anagawa kwa idara mbalimbali.Kutoka Ikulu Katibu wa Rais hadi Katibu tawala msaidizi Utawala na rasilimali watu nadhani hiyo ni kupigwa teke kubwa haswaa.Huyu alikuwa akisimama kando wakati mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanapoapishwa.
Hakika ndugu yetu alikuwa mzoefu wa corridor za Ikulu leo unapelekwa mkoa wa Mara hii inaweza kuwa sababu kuu ya kifo chake.
RIP Katibu Tawala Msaidizi.