Katibu Tawala wa Wilaya aingilia kati sakata la Bandari, amuonya Wakili Boniface Mwabukusi

To be fair, huyo wakili Boniphace anaongea kwa jazba sana. Mimi ni wakili. Siweziongea hivyo. Jenga hoja huku ukiheshimu na kulinda haki za mpinzani wako.
Wewe ni wakili na hujui kwamba Binadam wanaathirika na hulka, tamaduni na mazingira walimokulia... unadhani kila mtu ni soft spoken?

Kavunja haki ya nani?
 
To be fair, huyo wakili Boniphace anaongea kwa jazba sana. Mimi ni wakili. Siweziongea hivyo. Jenga hoja huku ukiheshimu na kulinda haki za mpinzani wako.
Wakili usiyejua hata namna ya kuandika!! Wakili usiyejua kuwa when you put garbage in, then you have to expect garbageout!
Wakili usiyejua maana ya haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…