Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Yule amesema anaongea lugha ambayo watawala wataielewa,tusijifanye kama hatujui watawala wanaongea lugha gani,wao wanapoteka watu badala ya kutumia mfumo rasmi wa kisheria wanategemea watu wawachekee tu?acha awafundisheTo be fair, huyo wakili Boniphace anaongea kwa jazba sana. Mimi ni wakili. Siweziongea hivyo. Jenga hoja huku ukiheshimu na kulinda haki za mpinzani wako.
Sent using Jamii Forums mobile app