Katibu Tawala wa Wilaya aingilia kati sakata la Bandari, amuonya Wakili Boniface Mwabukusi

Katibu Tawala wa Wilaya aingilia kati sakata la Bandari, amuonya Wakili Boniface Mwabukusi

Ukienda Busega utakuta utendaji wake ni wa hovyo na chini ya kiwango hivyo hiyo ni cover up wasigundue udhaifu wake.
Chunguzeni mtayaona hayo
 
To be fair, huyo wakili Boniphace anaongea kwa jazba sana. Mimi ni wakili. Siweziongea hivyo. Jenga hoja huku ukiheshimu na kulinda haki za mpinzani wako.
Mimi nikiona mtu anatetea huo mkataba natamani hata nimpige makofi siyo tu kuongea kwa jazba na hiyo haiingiliani na kazi yangu ya udereva

Kama ndiyo hivyo basi achana na uwakili wa boni baki na utanzania wake wenye uzalendo ndani yake
Kupitia huo uwakili umemsaidia kuujua huo mkataba kiundani zaidi na hivyo kuongeza machungu zaidi ya hicho kinachoenda kufanyika
kwake zaidi ya kwetu sisi lakini ambao tunapata ufafanuzi kutoka kwa watu kama yeye
Lakini kwanini mnashambulia watu na siyo kujibu hoja kwa hoja nzito zaidi
 
To be fair, huyo wakili Boniphace anaongea kwa jazba sana. Mimi ni wakili. Siweziongea hivyo. Jenga hoja huku ukiheshimu na kulinda haki za mpinzani wako.
Kuongea kwajaziba nikutolinda haki za opponent ,kama ndivo nenda kamshitaki basi
 
Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha amejitosa kwenye sakata la Bandari na kumuonya Wakili Mwabukusi na kuomba ashughulikiwe hili hapa andiko lake

View attachment 2684894
Huyu naye atawajibika ikiwa Wakili Mwakubukusi atadhurika kama alivyosema Baba Askofu Mwamakula kwenye press ya jana.
 
Back
Top Bottom