To be fair, huyo wakili Boniphace anaongea kwa jazba sana. Mimi ni wakili. Siweziongea hivyo. Jenga hoja huku ukiheshimu na kulinda haki za mpinzani wako.
Yule amesema anaongea lugha ambayo watawala wataielewa,tusijifanye kama hatujui watawala wanaongea lugha gani,wao wanapoteka watu badala ya kutumia mfumo rasmi wa kisheria wanategemea watu wawachekee tu?acha awafundishe
Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha amejitosa kwenye sakata la Bandari na kumuonya Wakili Mwabukusi na kuomba ashughulikiwe hili hapa andiko lake