Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini.

Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani?

======

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohammed amewataka Watanzania kuepuka kufungamanisha matukio ya mauaji yanayoendelea nchini hasa kwa Wanasiasa na masuala ya kisiasa huku akidai kifo hakisimami kipindi cha uchaguzi.

Jawadu ametoa kauli hiyo ofisini kwake Jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mkoa huo ambao umeshinda kwa asilimia 99 katika uchaguzi huo.

Amesema Watanzania waepuke tabia ya kukuza mambo kwa kulifanya jambo dogo kuwa kubwa huku akisisitiza sababu ya kifo ndiyo inatafsiri aina ya kifo na kudai si kila kifo kinachotokea kwa Wanasiasa kinahusiana na uhasama wa kisiasa.

Source: ITV Tanzania
 
View attachment 3169490
Maybe maybe not, ishu ni frequency vya aina fulani vimeongezeka sana during uchaguzi? Now why wakati wa uchaguzi?
 
Back
Top Bottom