Hii Kweli maktaba😀😀Pigo kubwa kwa team Fomu Moja CCM 2025.
RIP kada wa chama dola kongwe
TOKA MAKTABA :
CCM Tanga wamchangia hela ya fomu Rais Samia
January 6, 2024
TANGA: Chama Cha Mapinduzi mkoani Tanga kimechanga Sh milioni 1.7 Rais Samia Suluhu kwa ajili ya gharama ya fomu ya kugombea nafasi ya hiyo wakati wa uchaguzi utakapofika.
Akikabidhi fedha hizo kwa Katibu CCM mkoa, Seleman Sankwa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya kata ya Msambweni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Rajab Abdurahman amesema kuwa kutokana na mazuri yaliyofanywa na Rais Samia wamevutika kumchangia gharama za ununuzi wa fomu hiyo .
“Sisi CCM Tanga tumeamua kuchangia kabisa gharama za fomu ya Rais ya kugombea nafasi hiyo pindi wakati ukifika kwani kutokana na mazuri aliyoyafanya katika nchi hii tumeona tumsaidie gharama za hizo za fomu”amesema Mwenyekiti Rajab
Sijui kala pesa za form?Wameanza kulana bichwa wao kwa wao
Wanavyoishi na watu utafikiri hawatakufa
Mshauri Lucas hii michezo yao waache.
😀😀Hawa ccm hata wakifa wote hakuna hasara.
Na kule chadema, akina Ntobi, Bonge Yai, na Yericko Nyerere hawana faida kwa watanzania.
Mungu mpe anachostahili kama alishiriki kuiba kura, short of that RIP mpendwa wetu.Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.
Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho.
View: https://www.instagram.com/p/DDzEIrMNb7P/?igsh=MW0ybTlwOXE1ajUxZw==
Sawa sawa.Pigo kubwa kwa team Fomu Moja CCM 2025.
RIP kada wa chama dola kongwe
TOKA MAKTABA :
CCM Tanga wamchangia hela ya fomu Rais Samia
January 6, 2024
TANGA: Chama Cha Mapinduzi mkoani Tanga kimechanga Sh milioni 1.7 Rais Samia Suluhu kwa ajili ya gharama ya fomu ya kugombea nafasi ya hiyo wakati wa uchaguzi utakapofika.
Akikabidhi fedha hizo kwa Katibu CCM mkoa, Seleman Sankwa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya kata ya Msambweni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Rajab Abdurahman amesema kuwa kutokana na mazuri yaliyofanywa na Rais Samia wamevutika kumchangia gharama za ununuzi wa fomu hiyo .
“Sisi CCM Tanga tumeamua kuchangia kabisa gharama za fomu ya Rais ya kugombea nafasi hiyo pindi wakati ukifika kwani kutokana na mazuri aliyoyafanya katika nchi hii tumeona tumsaidie gharama za hizo za fomu”amesema Mwenyekiti Rajab
Acha MUNGU aitwe MUNGU hata huo Uchaguzi hatauona. Mambo mengine ni ya kumwachia MUNGU sio kujifanya wajuaji. Mambo ya 2025 umeshaweka kiherehere mbele 😂😂Pigo kubwa kwa team Fomu Moja CCM 2025.
RIP kada wa chama dola kongwe
TOKA MAKTABA :
CCM Tanga wamchangia hela ya fomu Rais Samia
January 6, 2024
TANGA: Chama Cha Mapinduzi mkoani Tanga kimechanga Sh milioni 1.7 Rais Samia Suluhu kwa ajili ya gharama ya fomu ya kugombea nafasi ya hiyo wakati wa uchaguzi utakapofika.
Akikabidhi fedha hizo kwa Katibu CCM mkoa, Seleman Sankwa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya kata ya Msambweni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Rajab Abdurahman amesema kuwa kutokana na mazuri yaliyofanywa na Rais Samia wamevutika kumchangia gharama za ununuzi wa fomu hiyo .
“Sisi CCM Tanga tumeamua kuchangia kabisa gharama za fomu ya Rais ya kugombea nafasi hiyo pindi wakati ukifika kwani kutokana na mazuri aliyoyafanya katika nchi hii tumeona tumsaidie gharama za hizo za fomu”amesema Mwenyekiti Rajab
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji'un"Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.