ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.
Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho.
View: https://www.instagram.com/p/DDzEIrMNb7P/?igsh=MW0ybTlwOXE1ajUxZw==
Cardiovascular !
RIP sote ni wa njia moja !
Tutendeane mema sio kudhalilishana !!
Duniani tunapita tu Bandugu !
Poleni sana wafiwa Mungu awape subira na nguvu 🙏🙏