Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo ni kifo tu mkuu..tupo busy na TL .kwaheriNdugu zangu Watanzania,
Chama cha Mapinduzi kinasikitika sana na kimepokea kwa masikitiko na makubwa sana Kifo cha katibu wake Mkoa Wa Tanga aliyefariki Mchana wa Leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
Ni Majonzi,huzuni ,masikitiko na maumivu Makubwa sana kwa Chama na Familia.Marwhemi atakumbukwa kwa uchapakazi wake na kujitoa kwake kwa jasho katika kukijenga chama.View attachment 3181172
Upoje Bize na TL wakati viongozi wake wameshasema kuwa ni mropokaji na hana uwezo wa kupanga mipango hata ya mtaa tu.Kifo ni kifo tu mkuu..tupo busy na TL .kwaheri
Huyu amekufa kitambo na Uzi wake upo wewe Chawa hauna taarifa za watu wako?Ndugu zangu Watanzania,
Chama cha Mapinduzi kinasikitika sana na kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa sana Kifo cha katibu wake Mkoa Wa Tanga aliyefariki Mchana wa Leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
Ni Majonzi,huzuni ,masikitiko na maumivu Makubwa sana kwa Chama na Familia.Marehemu atakumbukwa kwa uchapakazi wake na kujitoa kwake kwa jasho katika kukijenga chama.View attachment 3181172
Itakuwa amekunywa pombe za kienyeji huyu mleta mada.Huyu amekufa kitambo na Uzi wake upo wewe Chawa hauna taarifa za watu wako?
Aende tutamkuta.Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.
Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho.