ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Cardiovascular !Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.
Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho.
View: https://www.instagram.com/p/DDzEIrMNb7P/?igsh=MW0ybTlwOXE1ajUxZw==
Duh 🙄 !Mungu mpe anachostahili kama alishiriki kuiba kura, short of that RIP mpendwa wetu.
Achezi hizo bwanaVijidrama
Duh 🙄 !Vijidrama
R.I.P Mzee Ally Kibao.Wameanza kulana bichwa wao kwa wao
Wanavyoishi na watu utafikiri hawatakufa
We will never forgetR.I.P Mzee Ally Kibao.
Watajuana wenyeweApumzike Kwa Amani CCM Kunani
Inahuzunisha na ni msiba kwa familia.Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.
Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho.
View: https://www.instagram.com/p/DDzEIrMNb7P/?igsh=MW0ybTlwOXE1ajUxZw==
Kwani nimeandika vibaya, I have wished him a peaceful rest if he did not participate in rigging pollsDuh 🙄 !
All factors kept constantKwani nimeandika vibaya, I have wished him a peaceful rest if he did not participate in rigging polls
Poleni CCM na familiaKatibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi Uenezi na Mafunzo, Amos Gabriel Makalla CCM imetoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama wa CCM, na wote walioguswa na msiba huo.
"Ndugu Sankwa atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kuimarisha chama na kuleta maendeleo ya jamii. Kifo chake ni pigo kubwa kwa familia, CCM, na taifa kwa ujumla."