TANZIA Katibu wa ccm mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa afariki dunia leo tarehe 20 dec 2024

Hivi Kuna marehemu aliyewahi kusemwa vibaya?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Chama cha Mapinduzi kinasikitika sana na kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa sana Kifo cha katibu wake Mkoa Wa Tanga aliyefariki Mchana wa Leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.

Ni Majonzi,huzuni ,masikitiko na maumivu Makubwa sana kwa Chama na Familia.Marehemu atakumbukwa kwa uchapakazi wake na kujitoa kwake kwa jasho katika kukijenga chama.
 
Kifo ni kifo tu mkuu..tupo busy na TL .kwaheri
 
Huyu amekufa kitambo na Uzi wake upo wewe Chawa hauna taarifa za watu wako?
 
Aende tutamkuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…