digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Acheni kushiriki uchaguziYenyewe yameshajihakikishia Jiwe atawabeba kupitia wakurugenzi na tume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kushiriki uchaguziYenyewe yameshajihakikishia Jiwe atawabeba kupitia wakurugenzi na tume.
Mungu anamtapika muda si mrefu maana huwa hapendi waliovuguvugu!Mwakyembe mara kanisani mara uchawi !
Halafu saa 6 usiku bado kanasema mkutano ni kesho!Mkuu umeandika post saa sita za usiku,
yawezakuwa mlikuwa pamoja nae sema mmezidiana kete tu!!
Nini kinawahangaisha?anajilaumu kupoteza nafasi ya kumpa kichapo katibu huyo.
Nadhani ni unga maana alikuwa anatoa mfukoniDawa ipo mfumo gani
Aliniudhi aisee tunataka tumchinje mtu ye analeta ujingaHalafu saa 6 usiku bado kanasema mkutano ni kesho!
Kumbe ndiyo lengo lenu!Acheni kushiriki uchaguzi
Hah ha haaaa, duuhUaneni tu,tumewachoka.
Sasa ukumbi si unafanyiwa usafi?Nadhani ni unga maana alikuwa anatoa mfukoni
Ili kueneza zaidiSasa ukumbi si unafanyiwa usafi?