Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Ndio maana tunapata viongozi vilaza wanaoingia kwa ushirikina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingine watu hutafuta namna ya kumjumuisha mtu ............Mleta uzi anadai kwamba huyo mmwaga dawa ni Team Mwakyembe
Wacha ajisaidieWakuu, habari nyeti kutoka kwenye ukumbi mkubwa zaidi jijini kyela zinadai Lukas Mwanyanda katibu wa CCM wilaya, ameonekana akimwaga madawa ukumbi utakaotumika kwa uchaguzi kesho.
Vyanzo viwili nyeti vinakiri kushuhudia tukio hilo ambalo limefanyika wazi dakika chache zilizopita.
"Tulimuona alianzia kumwaga eneo la viti vya wagombea , meza kuu na baadae kwa wajumbe, sisi watatu tumemuona" alieleza mnyetishaji huyo ambaye anajilaumu kupoteza nafasi ya kumpa kichapo katibu huyo.
Chanzo hiki kimejaribu kumsaka Dr Kimati katibu mkongwe kutaka kujua mwenendo wa mmwagaji dawa huyu ambaye Ni mtumishi wake lakini hakupatikana. Lukas Mwanyanda kama anavyojiita anafahamika kutembea na kirungu chenye mashanga mashanga na kuvaa mapete ya rangi rangi kama alama yake ya kisiasa.
Nimefika ukumbini hapo muda huu na kukuta ukumbi mzima umezungukwa na mashushu wa Kila mgombea na pikipiki.
Katibu huyu anadaiwa kuwa mtiifu kwa mbunge anae maliza muda wake Daktari msomi Harrison mwakyembe.
KESHO
Kesho Ni mtifuano mkali Sana Kati ya Mafahari watatu, Mbunge Dr mwakyembe, Mwenyekiti wa Chama Ndugu Kinanas na Mwanasiasa Machachari mdomoni Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri Dr Hunter Mwakifuna.
N.B
Wewe kigogo unae karibia kuleta dawa nyingine tunazo habari zako, Tumesikia mmeapa wajumbe wajutie kuingia ukumbini humu,
Lakini je vitendo vya ushirikina vitawapa mafanikio??
Tukutane Kesho...
PoleMods futa huu uzi unanitishia usalama wangu aisee