Uchaguzi 2020 Katibu wa CCM Wilaya Kyela anadaiwa kumwaga dawa ukumbini muda huu

Ndio maana tunapata viongozi vilaza wanaoingia kwa ushirikina
 
Hamna uchawi wa kushinda tofaut na kuiba kura na rushwa.

Ingekuwa kuna uchawi wa kushinda CDM wangekesha kwa waganga na vigagura washinde uraisi waitoe CCM chamwino
 
Wacha ajisaidie
 
Huu ni uzushi kutaka kuchafuana tu, kwa kweli tutayasikia mengi ya uzushi hata yasiyowezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…