Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Bila shaka.Ahaa kwa hiyo huko alikoenda aliahidiwa
Duh...!.Mbona CDM ngelipata ubunge tena! He is a god gy ni hizo njaa za kisengelema Mwanza
Huyu kijana angepata ubunge wake bila shaka maana alikuwa anafanya kazi na wananchi wake walimpenda ila now asahau ubunge kama hata viti maalumu hatopewa na pande zile
Kitendo cha Nassary kutelekeza jimbo ni cha kihuni wa utoto. Hata angeomba nafasi ya kugombea udiwani hatukuwa tayari! Mtu akili zimejaa kamasi tupu.Mbona CDM angelipata ubunge tena! He is a god guy ni hizo njaa za kisengelema Mwanza
This is very smart indeed! Rating past performance for further opportunities /erformance! Lakini mbona Nasari was superb? Salary Slip
Tena katika lile Jimbo CCM haikubali na ndio maana alipata kura nyingi.Mbona CDM angelipata ubunge tena! He is a god guy ni hizo njaa za kisengelema Mwanza
Kwani katukanwa!? Kama ana la kuongea mwache aongee. Yeye hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho kuongea.Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Nassari wewe ni msaliti. Full stopNassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Nani atamuamini?Mangapi yamesemwa?Waendelee tu kusema.Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
sasa alidanganywa na nini? He was a good boy!Tena katika lile Jimbo CCM haikubali na ndio maana alipata kura nyingi.
He was nursing his wife!Superb na alikuwa hahudhurii darasani aka vikao vya Bunge!
Nilikuwa sijui, alitelekeza jimbo? Si alikuwa anamuuguza mkewe USA? Basi kwa rating yao asingelipita.Kitendo cha Nassary kutelekeza jimbo ni cha kihuni wa utoto. Hata angeomba nafasi ya kugombea udiwani hatukuwa tayari! Mtu akili zimejaa kamasi tupu.