Uchaguzi 2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

Uchaguzi 2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

Cheap politics. Sasa hivi mnatapatapa

Nadhani ingekua busara zaidi kuliko kupoteza muda na nassari mngejitathmini kwanza kwa upande wa kanda ya arusha ns viunga vyake mmeifanyia nini na mnajipangaje kwa sababu ukweli ni kwamba wananchi wamechoka kama sio kujutia kitendo cha kuwapa nyie nafasi lakini hakuna lolote mlilowafanyia, arusha na viunga vyake inarudi mikononi mwa CCM uchaguzi huu.
 
Yeye alitakiwa aingie kwenye mchujo kama wengine. Kama anakubalika na wanachama wa huko kwa mazuri aliyoyafanya ni wazi angepitishwa. Ila kuwa guaranteed nafasi ya kugombea sio sawa.
 
Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Kwani katukanwa!? Kama ana la kuongea mwache aongee. Yeye hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho kuongea.
 
Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Nassari wewe ni msaliti. Full stop
 
Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Nani atamuamini?Mangapi yamesemwa?Waendelee tu kusema.
 
Kitendo cha Nassary kutelekeza jimbo ni cha kihuni wa utoto. Hata angeomba nafasi ya kugombea udiwani hatukuwa tayari! Mtu akili zimejaa kamasi tupu.
Nilikuwa sijui, alitelekeza jimbo? Si alikuwa anamuuguza mkewe USA? Basi kwa rating yao asingelipita.
 
Back
Top Bottom