PreGE2025 Katibu wa Hamasa CCM: Mnaosema bora Magufuli kuliko Samia, tunawapa onyo. Hatutawaunga mkono kwenye Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.

"Lakini nimesikitishwa mno na baadhi ya wabunge ambao wanaitana nyumbani kwao na watu na kusema kwa siri kuwa ni bora Rais Magufuli aliyekufa kuliko Rais Samia aliye hai hizi nazo ni kauli mbaya na tunatoa onyo"

Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.

Hawa waripokaji wasokua na akili wala reasoning, wanafikiri wanaisafisha CCM kumbe ndo wanazidi kuipaka matope.
 
Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.

niwe mkweli, kmama usingekuwa utekaji, samia was better of, ila kwa utekaji na kuwapa waarabu nchi, sidhani kama kuna siku natamani aendelee kuwa rais wangu.
 
Nimegundua kuwa hakuna mtu pale ,Kuna kivuli tu,ndo maana mauaji na uporaji wa mali za umma ni mkubwa kwa sasa,

Tuombe mungu atuepushe na hili balaa la huyu mzanzibar.

Nje ya maada,vipi sasa ujue Nina hamu sana Mimi🤔🤔🤔
Umefanya maamuzi sahihi. Mungu atatufanyia wepesi atatuepusha na hicho kikombe.

Ngoja kwanza hali ya nchi itulie wasije wakanitumia mimi kukuteka wewe.
 
Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.

njinjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine, mkuje mara moja!

Kwani mahaba hulazimishwa?
 
Back
Top Bottom