PreGE2025 Katibu wa Hamasa CCM: Mnaosema bora Magufuli kuliko Samia, tunawapa onyo. Hatutawaunga mkono kwenye Uchaguzi

PreGE2025 Katibu wa Hamasa CCM: Mnaosema bora Magufuli kuliko Samia, tunawapa onyo. Hatutawaunga mkono kwenye Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.

Weeeeeeeeeeeeeeee muongo mkubwa NIAMBIE KILICHOMFANYA NDUGAI AJIUZULU.................AKIJIBU MTANIAMBIA
 
Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.

Kwani hakuna haki ya kufanya comparisons???? Upumbavu tu
 
Hapa Dodoma tunakutana na kujumuika na wabunge na mawaziri.
Kama tungekuwa tunarekodi wanayoyaongea kuhusu "mama yenu" na kuyaweka hadharani, basi naamini tungekuwa na mawaziri wasiozidi 30, kwani wabunge wengi wangekuwa hawafai kwa mujibu wa "mama yenu", yaani kwa kuongea ukweli kuwa hana uwezo kabisa kama ambavyo tumeona imewagharimu Ummy, January na Prof. Iwe.
 
Ccm wamejikuta wanatumia nguvu nyingi mapema sana ,ila kila mda unavyosogea pumzi inakata vibaya mno.

Mtu anatoa hoja nzito tenda ambazo zinaweza saidia chama chao ,kinachofuata ni kumbagaza.

Watajua hawajui
 
Kwani uhuru wa mawazo ccm umezuiliwa?

Yani ukisema "Magufuli alikuwa bora kuliko Samia ni dhambi"

Hapo hata ajakosolewa ni mtizamo wa wananchi tu, yeye anaumizwa.
 
Hayo ni mawazo yao
Na mara nyingi mtu hukumbukwa baada ya kutoka madarakani au kufariki dunia
Usitegemee sifa uwapo madarakani licha ndiyo hutia faraja na masimango huketa huzuni hasa unapomuona anayekuongea vibaya hana nyuma wala mbele

Cha msingi tekeleza tu kile kinachikupasa kutekeleza

Hi

Back
Top Bottom