Huko ndani fukuto linazidi soon litatoka nje😂😂🤣Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
Sasa wewe utamlinganisha Magufuri na Samia?Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
Kwani ni vibayaHemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
......Sitaki kuamini yale yaliyotkea BABELI yanatokea kwa SSH........Mungu Mkubwa....Maana huyu jamaa anajua anajenga kumbe ndio anaharibu kabisa......ASANTE MUNGU kwa KUSIKIA hili na Lile la GWAJIMA kutoka kwa Mwana-CCM....Maana angesema CHADEMA angekamatwaHemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
Hakuna ukweli hapo, ni uongoKwa kuongea na kusema ukweli?
Gwajima karusha jiwe gizani. Limewapiga watu kwenye visogo.Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
Waongee wabunge wa ccm, wa kunyooshwa wanyooshwe wapinzani...?Bado nini sasa
Kila kitu kwenu ni kibaya
Mtanyooka tu
Hatuwezi kuwa familia yq kambale - baba, mama ba watoto wote mna sharubu
Kwani c kweli tofauti ya mama Samia na magufuli iko katika kujiamini hakuna asiyejua magufuli alikuwa anafanya mwenyewe huyu mama anaongozwa na kina kikwete, Omar kheri na lukuvi na shida yote imeanzia hapo.Weeeeeeeeeeeeeeee muongo mkubwa NIAMBIE KILICHOMFANYA NDUGAI AJIUZULU.................AKIJIBU MTANIAMBIA
Hahaha mwamba kafikisha ujumbe inatoshaHemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
Wewe hutaki ukweli bwana mdogo.huwezi kubishana na ukweli wewe ni mtoto sana ww bwabwaja ukimaliza kalale dogo.Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
Taifa la kujipendekeza wazalendo kwa watu na sio wazalendo kwa nchiHemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
Mbona wapo wanaorembua,kwani wapo kijiwe cha wanaosinzia?Na bado!
😂😂 Gwajima amegusa na kuachia lakini jamaa wamekomaa vibaya, milio kila mahali.Gwajima kakanyaga kidogo tu. Wanakanygana .
Kila mtu anaongea