Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kamarada Humphrey Polepole kuzungumza na Vyombo Vya Habari kesho Ijumaa Novemba 20, 2020

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kamarada Humphrey Polepole kuzungumza na Vyombo Vya Habari kesho Ijumaa Novemba 20, 2020

Hivi jamaa ni kijana au mzee..mana haelewekagi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kazi ya uchaguzi imeisha na ushindi wa kishindo umepatikana. Ahadi zile kwa wadau asisahau kusema kitu.
 
Mtaniambia atakachosema! Maana sijawhi kupoteza muda kumsikiliza huyu mtu.
 
Anataka kuwajibu mabeberu? Pale bondia wa uzani wa mwepesi (mfano,Feather Weight) anapojaribu kupambana na bondia wa uzani wa juu (Heavy Weight).

Mwana kulitafuta....mwaka huu mnalo.
 
Huko kwenye list ya ICC bora ungeendelea na kiNGO chako
 
CCM wanachokosea ni kuzungumza na vyombo vya habari vya Tanzania pekee.

CCM yawapasa kualika vyombo vya habari vya kimataifa ili kujibu hoja zitolewazo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii.

Yawapasa pia kutumia lugha zote za kiingereza na kiswahili ili ujumbe uenee duniani kote.

Itikadi ya CCM yapaswa kuenezwa kwa walokusudiwa khasa wale waloielewa itikadi yake.
 
Now days hayupo serious, simsikilizagi. Nasubiri watakaohadithia.
 
Waandishi huu ndy wakat wenu kuonyesha kuwa Taluuma yenu inaokoa Taifa. Piga maswali huyo Jamaa mana huyo ni madterminder wa siasa Hizi ambazo znatishia kuua uchumi wezeshi kwa Taifa hili.
Piga maswali makali makali "
 
Back
Top Bottom