TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ndugu Lugano Mwafongo afariki dunia

TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ndugu Lugano Mwafongo afariki dunia

Hakika mauti imeachiliwa kwa wao walio na mwili...doh!!!
 
Hii ni hatari hadi wengine wamekimbia kujificha makwao. It's very serious.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] falsafa ya popobawa akikupitia lazima utangaze la sivyo anarudi tena

Ndio hiyo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mule mule!

Coronavirus inatuniga makoo na kutuua wao hawataki kutangaza tumekufa wangapi!

Sasa korona inawachapa nao sambamba na sisi! Hadi vijambio vitepwete yaani.

Dawa kusema tu.
 
Back
Top Bottom