Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajaribu kusema nini?,hii ni habari ya mesiba we unaleta chokochoko zakoSio sisi tu hata nyie hamko salama.
Katibu wa Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ndugu Lugano Mwafongo amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya rufaa ya KCMC mkoani Kilimanjaro alipokimbizwa kwa matibabu.
Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!
Ingawa corona inaua kila mtu lakini imeanza vizuri hapa kwetu tz
Vaa barakoa imeandikwa ccmUnajaribu kusema nini?,hii ni habari ya mesiba we unaleta chokochoko zako
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Alipata shida ya kupumua?TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki Dunia Leo Tarehe 7 Mei 2020 Katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa akipatiwa matibabu. View attachment 1442719
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupuza rasmiVaa barakoa imeandikwa ccm
RIP! Pamoja na DC wa Nyang'wale RIP!