Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Watu unaoongea nao muda huu wanakufahamu kwa kina, punguza hizo dharau za kike.Dah!
Wewe kweli ni kiazi kabisa. Unaparamia tu watu usio wafahamu. Sijawahi kuwa mwanafunzi wa takataka kama zile.
Na hata kama ingetokea iwe hivyo, maana ya elimu ni zaidi ya mwalimu aliye kufundisha. Najua wewe haya huyaelewi kabisa.