Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

Ubora ule ule wa bandari za UK, India na Belgium ndio unakuja kuwepo katika bandari yetu, nyinyi endeleeni na hayo maneno mengi ya kwenye kanga. Unapoteza muda Kalamu.
Wewe sasa sina shaka nawe tena kuhusu ushirika wako katika genge, kwa hiyo nitaendelea kukuchukulia hivyo tu, kwa maana hakuna lolote la maana unaloweza kulieleza hapa kuhusu genge lenu
Walikuwepo kina Mtikila na wengine wengi tu wenye fikra kama za kwako leo hii wameshalala usingizi wa milele.

Ishi na fikra chanya hizi za kiuanaharakati hazikusaidii chochote.
Safari hii hamponi, na inawezekana kabisa mkaididimiza hata hiyo CCM yenyewe kama waliopo huko na wana mapenzi mema na nchi hii hawatastuka mapema. Mtalizamisha jahazi zima.
Utabakia na matusi yako meengi na kiburi cha kike, DP World wanaanza kazi hapo bandarini muda sio mrefu ujao.
EeeenHeeeeee! Jifurahishe mkuu.
Nchi hii ni nchi yenye heshima kubwa. Genge dhaifu kama hili lenu haliwezi kamwe likaleta aibu kwenye nchi hii.
Kwa hiyo, jisikie raha wakati huu mfupi, kiyama chenu kinakuja.
 
DP World ana mifumo ya kisasa sana ya upakuaji na upakiaji wa makasha melini, hushangai namna alivyopigwa vita mpaka na maaskofu tunaowaheshimu?.

Jiandaeni kufanya biashara kubwa sio kuishi kwa kunyooshea vidole wanasiasa, ni watu wa kuja na kuondoka.
DP World, siyo hoja hapa, hana tofauti yoyote na TICTS. Wafadhiri wake watakapofurumushwa, kama kazi yake hairidhishi anafungasha vilago apende, asipende. Ile kinga ya IGA mliyotaka kuiingiza kumlinda haipo tena.

Tutapata viongozi wanaoweka mbele maslahi ya nchi hii, na haitachezewa tena na genge la wapuuzi kama hili lenu.
 
IGA sio kinga ni taratibu za kuwezesha uwekezaji kufanyika, hii unaiongelea sana kwa sababu ilivuja zipo nyingi sana ambazo hujaziona na zinaongoza biashara nyingi za ubia kati ya Tanzania na mataifa mengine.

TICTS waliondolewa kwa sababu ya kugeuka wapigaji wakishirikiana na viongozi wa kiserikali na mkataba wao ukawa hauna faida kwa Taifa. Yapo mengi hayawezi kuandikwa humu.
 
Wewe sikutilii maanani tena kwa lolote kwa sababu nimekwisha tambua ni mtumishi wa mafisadi. Huna lolote la maana unalolitakia Tanzania ilifanikishe.

Yote haya unayoweka humu ni upuuzi mtupu.

Tanzania haijawahi kuwa na IGA ya kishenzi kabisa kama hiyo ya waarabu waliyojaribu kuiingiza hapa wakijua wanao wakala wao kwenye ngazi za juu serikalini.

Najuwa TICTS hawakuwa na manufaa makubwa hapo Bandarini; lakini DP World ile ya IGA ingekuwa ni mbaya mara dufu ya hiyo TICTS chini ya genge lenu la kihaini na kuinajisi Tanzania.
 
Sitachoka kukuelimisha kwamba IGA ile ya DP World ndio imetengeneza Commercial Agreements zilizosainiwa mbele ya rais pale Dodoma hivi karibuni.

Tatizo lako unajifanya kichwa ngumu mwenye matusi mengi lakini ukweli ni dada mmoja mtupu tu.

Hujui miradi mingi inapitishwa kwa mikataba ipi, kwa taarifa yako IGA zinazotumika ndio hizi hizi tatizo huwa hatuzioni kwa sababu hazivuji kwenye mitandao.
 
Sitachoka kukuelimisha kwamba IGA ile ya DP World ndio imetengeneza Commercial Agreements zilizosainiwa mbele ya rais pale Dodoma hivi karibuni.
Dah!
Mtu kama wewe utaanzia wapi kunielimisha mimi, kama siyo kukosa la kuandika! Huna hata moja unalolijua kwa ufasaha, msukumo ni ufisadi tu pekee. Hapao utanifundisha elimu ya uhujumu wa nchi? Elimu ya aina hiyo kaa nayo mwenyewe.
Hujui miradi mingi inapitishwa kwa mikataba ipi, kwa taarifa yako IGA zinazotumika ndio hizi hizi tatizo huwa hatuzioni kwa sababu hazivuji kwenye mitandao.
Nimekwisha kueleza, hakuna IGA hata moja iliyokwisha fanyika Tanzania inayo karibiana kwa aina yoyote na ujinga wenu huu mliotaka kuwaingiza waTanzania. IGA zipo usidhani wewe unao ufahamu juu yake kuliko wengine, lakini ni aibu kubwa kwa Rais mzima wa nchi kutaka kuingiza nchi yake katika IGA ya kishenzi kama hii mliyopewa na waarabu. Kilichofanyika Dodoma hakina tofauti yoyote na Mikataba iliyokuwa nayo TICTS pale Bandarini.
IGA ya waarabu haina uhusiano wowote na huo uendeshaji wa DP World hapo bandarini.

Itawatokea puani tu, pamoja na kwamba imefilia mbali. Hii IGA imewaonyesha waTanzania kiasi cha uenda wazimu wanachoweza kufikiwa na hao wanaotakiwa kuwa viongozi wa nchi hii.
 
samia Hilo suala la hili limkataba la bandari ilikuwa afe kipa afe beki ilikuwa harudi nyuma na ndio mana kafanya aliyoamua kuyafanya ili DP uanze kazi bandarini.

Kuna ajenda ya siri sana inafichwa juu ya suala hili waTanganyika tuombe sana

Imagine mwarabu wa DP kabla hata hajaanza kazi bandarini keshafika Njombe kuangalia ardhi ili awekeze huko sasa unajiuliza wamekuja kwa ajili ya bandari au na mambo mengine?
Acha uoga wewe !!!wawekezaji wanahitajika kotekote hata kwa wanaolima parachix2
 
Dah!
Mtu kama wewe utaanzia wapi kunielimisha mimi, kama siyo kukosa la kuandika! Huna hata moja unalolijua kwa ufasaha, msukumo ni ufisadi tu pekee. Hapao utanifundisha elimu ya uhujumu wa nchi? Elimu ya aina hiyo kaa nayo mwenyewe.
Nimekwisha kueleza, hakuna IGA hata moja iliyokwisha fanyika Tanzania inayo karibiana kwa aina yoyote na ujinga wenu huu mliotaka kuwaingiza waTanzania. IGA zipo usidhani wewe unao ufahamu juu yake kuliko wengine, lakini ni aibu kubwa kwa Rais mzima wa nchi kutaka kuingiza nchi yake katika IGA ya kishenzi kama hii mliyopewa na waarabu. Kilichofanyika Dodoma hakina tofauti yoyote na Mikataba iliyokuwa nayo TICTS pale Bandarini.
IGA ya waarabu haina uhusiano wowote na huo uendeshaji wa DP World hapo bandarini.

Itawatokea puani tu, pamoja na kwamba imefilia mbali. Hii IGA imewaonyesha waTanzania kiasi cha uenda wazimu wanachoweza kufikiwa na hao wanaotakiwa kuwa viongozi wa nchi hii.
Hujui lolote dada yangu. IGA nyingi zimeingiwa kati ya serikali na taasisi mbalimbali na miradi inaendelea muda huu.

Sio kutaka kuingiza nchi, ukweli ni kwamba IGA ile ndio imezaa hii biashara ya bandarini.
 
Mpuuzi kama wewe ni haki yako kuendelea kujiaminisha hivyo.
Hiyo IGA mliyotengenezewa na waarabu ili kuinajisi Tanzania haipo tena.
Mategemeo pekee yaliyo baki ni kuwa kwa miujiza fulani huyo haini mkuu wa nchi yake aendelee kuwepo madarakani baada ya 2025 ili muifufue. Hilo halitawezekana tena. Msipokuwa waangalifu mtajikuta mnapatwa na makubwa zaidi mbali ya kuachia uongozi kwa amani.
 
Hujui unaloliongea hivyo vitisho vyako ni sawa na kupaka rangi upepo, upotezaji wa muda.

IGA imetengenezwa na wanasheria wa Tanzania waliosoma shule za kitanzania hapa hapa Dar, na haikuwa ni ya kwanza na haitakuwa ya mwisho kwani inatengenezwa kwa mujibu wa viwango vya biashara za kimataifa.

Povu lako usipoangalia utaenda nalo kaburini.
 
"Kupaka rangi upepo", mipasho ya aina hiyo inawahusu aina fulani ya watu wasiokuwa na umakini wowote juu ya lolote. Na wewe hapa umekwisha jipambanua kuwa ni mtu duni sana, ndiyo maana unapambana kufa na kupona kuhusu uhujumu wa nchi yako toka nje.

Hope less Kabisa.

IGA ile haiwezi kutengenezwa na mTanzania mwenye akili timamu. Ni kitu mlicho pewa na kuambiwa nendeni mkafanye haya, nanyi mkakibeba vile vile kama wenda wazimu. Hiyo IGA imemwondolea heshima hata ile ndogo aliyokuwa amebaki nayo huyo mama mliyemweka mateka.
Hamponi. Wewe viite vitisho, kwa vile upo usingizini ukifikiri waTanzania ni wajinga.
 
Unapoteza muda kushindana na mfumo unaoongoza nchi yako mwenyewe na uzoefu wako wa fitina zako ni ushahidi kwa jinsi unavyoshindwa kila unapokuja na mbinu zako chafu.

IGA ile imetengenezwa na sio tu mwanasheria bali mwalimu wa chuo kikuu pale Mlimani wa masomo hayo hayo ya sheria, akiwa amebobea kwenye sheria za kimataifa. Ukivitafsiri vifungu vya IGA ile kwa akili yako ya ujuaji lazima utaikosoa lakini ikitafsiriwa na wataalam wa sheria inafaa sana kuongoza biashara ya bandari yetu.

Wewe ni wale wale tu wasomi wa kibongo mnaojidanganya mnajua kila kitu matokeo yake ni kuvurunda kila mnachokifanya. Pole sana kwa kuishi na maumivu ya moyo.
 
IGA ile imetengenezwa na sio tu mwanasheria bali mwalimu wa chuo kikuu pale Mlimani wa masomo hayo hayo ya sheria, akiwa amebobea kwenye sheria za kimataifa. Ukivitafsiri vifungu vya IGA ile kwa akili yako ya ujuaji lazima utaikosoa lakini ikitafsiriwa na wataalam wa sheria inafaa sana kuongoza biashara ya bandari yetu.
Wewe hapo ni mshangiliaji tu, hujui hili wala lile kuhusu hayo unayoshangilia. Msukumo wako ni hayo matumaini tu ya kutupiwa mifupa ya kulamba kama mbwa koko.

Hiyo IGA kama bado unayo matumaini nayo wewe, utakuwa akili yako imelala kwelikweli.
Unapoteza muda kushindana na mfumo unaoongoza nchi yako mwenyewe na uzoefu wako wa fitina zako ni ushahidi kwa jinsi unavyoshindwa kila unapokuja na mbinu zako chafu.
Hakuna mfumo wowote wa serikali ya kitapeli, popote duniani ulioshinda juhudi za wananchi kujikomboa kutoka kwenye mfumo kandamizi au wa kifisadi.
Kawa hiyo unajidanganya kudhani kwamba hiyo Serikali ya kitapeli na kifisadi anayo iongoza Samia itakuwa na nguvu za kuzuia nguvu za wananchi kuiondoshea mbali.
 
Wewe ni wale wale tu wasomi wa kibongo mnaojidanganya mnajua kila kitu matokeo yake ni kuvurunda kila mnachokifanya. Pole sana kwa kuishi na maumivu ya moyo
Unawazungumzia "wasomi" wapi wa kiTanzania, aina ya hao unaowasifu wewe hapa kubobea kwenye sheria, huku wakihujumu nchi yao na mikataba ya kipumbavu?

Wasomi wapi unaowazungumzia, akina Kabudi Kalamaganda, aina ya watu wanaojidhalilisha na kupoteza heshima mbele za jamii?

Usomi wangu ni tofauti kabisa na aina hiyo ya hizo takataka. Nataka uelewe hivyo tokea leo.
 
Unaowaita takataka ndio wamekufundisha shuleni, wewe pamoja na wazazi wako, punguza dharau za kike wewe mrembo.
 
Wewe hapo ni mshangiliaji tu, hujui hili wala lile kuhusu hayo unayoshangilia. Msukumo wako ni hayo matumaini tu ya kutupiwa mifupa ya kulamba kama mbwa koko.

Hiyo IGA kama bado unayo matumaini nayo wewe, utakuwa akili yako imelala kwelikweli.
Hakuna mfumo wowote wa serikali ya kitapeli, popote duniani ulioshinda juhudi za wananchi kujikomboa kutoka kwenye mfumo kandamizi au wa kifisadi.
Kawa hiyo unajidanganya kudhani kwamba hiyo Serikali ya kitapeli na kifisadi anayo iongoza Samia itakuwa na nguvu za kuzuia nguvu za wananchi kuiondoshea mbali.
Endelea kuishi na machungu moyoni hakuna wa kukusaidia.

IGA ipo kazini muda huu, sihitaji kuwa na matumaini nayo.
 
Hakuna anaye kuzuia kujidanganya. IGA ya waarabu ilikufa kibudu, na wewe unajua hivyo ila unajipa matumaini tu yasiyokuwa na msingi wowote.
 
Unaowaita takataka ndio wamekufundisha shuleni, wewe pamoja na wazazi wako, punguza dharau za kike wewe mrembo.
Dah!
Wewe kweli ni kiazi kabisa. Unaparamia tu watu usio wafahamu. Sijawahi kuwa mwanafunzi wa takataka kama zile.
Na hata kama ingetokea iwe hivyo, maana ya elimu ni zaidi ya mwalimu aliye kufundisha. Najua wewe haya huyaelewi kabisa.
 
Back
Top Bottom