Wewe sasa sina shaka nawe tena kuhusu ushirika wako katika genge, kwa hiyo nitaendelea kukuchukulia hivyo tu, kwa maana hakuna lolote la maana unaloweza kulieleza hapa kuhusu genge lenuUbora ule ule wa bandari za UK, India na Belgium ndio unakuja kuwepo katika bandari yetu, nyinyi endeleeni na hayo maneno mengi ya kwenye kanga. Unapoteza muda Kalamu.
Safari hii hamponi, na inawezekana kabisa mkaididimiza hata hiyo CCM yenyewe kama waliopo huko na wana mapenzi mema na nchi hii hawatastuka mapema. Mtalizamisha jahazi zima.Walikuwepo kina Mtikila na wengine wengi tu wenye fikra kama za kwako leo hii wameshalala usingizi wa milele.
Ishi na fikra chanya hizi za kiuanaharakati hazikusaidii chochote.
EeeenHeeeeee! Jifurahishe mkuu.Utabakia na matusi yako meengi na kiburi cha kike, DP World wanaanza kazi hapo bandarini muda sio mrefu ujao.
Nchi hii ni nchi yenye heshima kubwa. Genge dhaifu kama hili lenu haliwezi kamwe likaleta aibu kwenye nchi hii.
Kwa hiyo, jisikie raha wakati huu mfupi, kiyama chenu kinakuja.