Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

Hiyo story ya misikiti siyo hoja maana hatujui ukweli ila njombe anasema anataka kuwekeza ndio ajabu maana wao wamekuja for bandari hata hawajaanza wameshaanza kukagua mashamba njombe hapo kidogo wapunguze spidi
Ruto Kesha tufunulia au kutuibia Siri mwenye chakula ndio tajiri sio mafuta n.k
 
Maswala ya kifisadi unayaita ya "kiuchumi"?

Maswala ya kiuchumi ndiyo yanayoondoa heshima kwa kiongozi wa nchi kuwa mwongo bla ya aibu yoyote?

Inavyoonekana sasa ni wazi kuna nguvu kubwa pembeni nyuma ya swala hili. Hili siyo swala la Samia, yeye ni mateka tu.
WaTanzania watalishughulikia.
Uelewa wako mdogo tu akili zile zile za kwenye meza za wauza kahawa.
 
EEEeeeenHeeeeee!
Ni kama mtu aliyetekwa?
Sasa unaona ujambazi huu mnaolifanyia taifa letu?

Huyo padre chini ya Magufuli angletwa hapo huku bastola ikigusa mbavu zake, na hali yake ingekuwa hivyo hivyo, kama hiyo uliyomwona nayo chini ya Samia.
Hakuna tofauti yoyote zaidi ya njia tu zinazotumika.
Fitina ya kusambaza waraka makanisani haina msaada wowote. Mungu ni wa wote siku zote.
 
...Sheria inasemaje kuhusu Bunge kuiona na Kuijadili Mikataba..??
Ni kosa kisheria kuweka wazi mikataba inayoongoza biashara, kuna kifungu kabisa cha sheria kinachohusu mikataba kuanikwa hadharani.

Nchi hii tumekubali kuishi kijinga na sio ajabu kuanza kuona matokeo ya ujinga huu katika masuala ya kijamii.
 
Fitina ya kusambaza waraka makanisani haina msaada wowote. Mungu ni wa wote siku zote.
Ona sasa unako peleka akili yako mbovu.
Mambo ya Mungu yametoka wapi hapa?
Unafanya utapeli na ujambazi halafu hapo hapo unakimbilia kuwa "Mungu ni wa wote"?
 
Ona sasa unako peleka akili yako mbovu.
Mambo ya Mungu yametoka wapi hapa?
Unafanya utapeli na ujambazi halafu hapo hapo unakimbilia kuwa "Mungu ni wa wote"?
Utapeli na ujambazi unakwenda kuongeza tija pale TPA unakwenda kuifungua nchi kwa mapana, Nyinyi wachache wenye akili za kijamaa imekula kwenu.
 
Akili za fisi za kusubiri mguu uanguke, unaweza ukaondoka duniani ukaicha CCM ipo ikulu.
Sawa, acha tuwe fisi, hili halitabadili chochote.
Swala hapa siyo CCM tena, swala ni Samia na genge lake.
CCM hiyo hiyo unayotaka kuitumia humu, ndiyo itakayowamaliza wewe na genge lote, kama waTanzania hawatawawahi katika hilo.
 
Tanzania unayoiongea wewe ni hii ya JF, hii ya twitter.. Tanzania halisi yenye kufahamu ulimwengu wa kibiashara upo vipi na namna gani ya kukabiliana nao kwa sasa inao wafanyabiashara waliorahisishiwa upakuaji na upakiaji pale TPA.
 
Utapeli na ujambazi unakwenda kuongeza tija pale TPA unakwenda kuifungua nchi kwa mapana, Nyinyi wachache wenye akili za kijamaa imekula kwenu.
Nikueleze tena, hapa hakuna swala la itikadi, si ujamaa wala ubepari. Unapeleka akili yako huko huku hata huna uwezo wa kuyafafanua hayo.
Hapa mnalofanya ni ujambazi na hatima ya jambazi yeyote inajulikana. Inawasubiri.
 
Tanzania unayoiongea wewe ni hii ya JF, hii ya twitter.. Tanzania halisi yenye kufahamu ulimwengu wa kibiashara upo vipi na namna gani ya kukabiliana nao kwa sasa inao wafanyabiashara waliorahisishiwa upakuaji na upakiaji pale TPA.
Maneno yaleyale uliyokariri toka mwanzo, unayarudia tu kama kasuku.
Ufisadi wenu mnaofanya hapa hautawaacha salama.
 
Back
Top Bottom