yusuphfrancis
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 433
- 361
Acha uongo bingwa, mshahara wa mwalimu mwenye Degree haulingani hata kidogo na mshahara wa mtu mwenye diploma fani yoyote alieajiriwa kwenye baadhi ya mashirika kama TAWIRI, TPA, REA, TANAPA na kwingineko.Ni sahihi kwa maana ya rank, yaani Mfanyakazi mwingine kutoa madaktari na wanasheria. Mshahara wa kuanzia wa Mwal ni mkubwa.
Lakini swali linakuja mkubwa wa kukidhi mahitaji kulingana na hali ya maisha na mfumuko wa bei wa Mara kwa Mara? Jibu ni hapana
Hivyo, kama huna data ni busara kutokuchangia!