peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
-
- #21
Niwe muwazi na mkweli.
Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.
Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.
Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.β au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.
2. Tumekopa fedha za kula na kulala
3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko
4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.
Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozip wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.
Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA
Mimi ni mmoja wapoπ
Duh!.Niwe muwazi na mkweli.
Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.
Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.
Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.β au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.
2. Tumekopa fedha za kula na kulala
3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko
4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.
Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozi wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.
Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA
Bado ujasema mlichofanyiwa gest mliyofikia Mama wa kichaga unaombwa kalio dar?hakika umezalilishwaMkuu , Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO mungu aliwaumbia ulimi .
Katibu wa UWT MKOA KILIMANJARO akiongea na wewe utadhania malaika kumbe ibilisi.
Tunahitaji kumuandikia barua ya siri mama shally Raymond mbunge wetu tumlilie kilichotupata Dar yeye kama mama mwenzetu na mama yetu.
Kama sio neema ya mungu wengine tulitamani kujiuza Dar tupate pa kulalaπππ ila tukamuongopa mungu na ndoa zetu
Vipi wahuni wa Dar hawakukutafuna?Mimi ni mmoja wapoπ
Akina mama wa kichaga na kipare WA CCMAkina mama wa kichaga na kipare walibebwa kama vipeto vya pumba za kulishia nguruwe, kufika Dar katibu kawaacha solemba hapo waliosumbuliwa ni ndugu wanaoishi Dar, sipati picha walivokua na huzuni na posho hawakupata na wengine period zilianza ghafla kwa mawazo
Akina mama wa kichaga na kipare WA CCM
Una uhakika na ulisemalo? Katibu wa UWT ni jirani yangu hapa Moshi. Ngoja nimtafute ajibuNiwe muwazi na mkweli.
Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.
Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.
Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.β au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.
2. Tumekopa fedha za kula na kulala
3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko
4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.
Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozi wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.
Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA
Ulivyo na matatizo angalia hapa:Mkuu , Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO mungu aliwaumbia ulimi .
Katibu wa UWT MKOA KILIMANJARO akiongea na wewe utadhania malaika kumbe ibilisi.
Tunahitaji kumuandikia barua ya siri mama shally Raymond mbunge wetu tumlilie kilichotupata Dar yeye kama mama mwenzetu na mama yetu.
Kama sio neema ya mungu wengine tulitamani kujiuza Dar tupate pa kulalaπππ ila tukamuongopa mungu na ndoa zetu
ππππππSi unaijua toilet paper ilivyo kabla na baada ya matumizi? Ndio kilichowakuta hao kina mama
Huyu ni mwongo. Nadhani anataka cheo chake tu. Alete vithibitisho maana mimi nilikuwa mmoja wa wajumbeEti mzaliwa wa Rwanda, basi ni mtusi.
Tukiwambia ccm na jumuia zake ni genge la wapumbavu muhame hamtuelewi pambaneni na hali zenu, BAWACHA huko kilimanjaro uliona ilivyofana na kila mtu alirudishwa hadi mlangon kwake huku huduma zote yakiwemo malazi na chakula plus usafir ukisimamiwa kwa ustadi wa kiwango cha kimataifa.Niwe muwazi na mkweli.