Katibu wa UWT mkoa wa Kilimanjaro jifunze alama za nyakati, punguza kupokea mlungula na warejeshee akina mama nauli walizotumia kwenda Dar

Kwa kifupi uongozi wa CCM mkoa wa kilimanjaro kuanzia Katibu wa ccm mkoa, makatibu wa ccm mkoa Jumuia zote na IT wa ccm mkoa . Kama hawataondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi ccm 2025 itauzwa na wanachama wataumia sana sana.
 
Niwe muwazi na mkweli.

Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.

Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.

Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.” au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.

2. Tumekopa fedha za kula na kulala
3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko
4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.

Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozip wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.

Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA

Acha tu yawakute ili mpunguze kiherehere. Mnaenda kumpongeza rais kwani hiyo kazi ya urais ni ya hisani au wajibu wake? Hizo siasa za kufuata Mkumbo mnaacha waume zenu ndani mnaenda kupiga uhuni, safari hii mtatia akili.
 
Niwe muwazi na mkweli.

Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.

Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.

Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.” au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.

2. Tumekopa fedha za kula na kulala
3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko
4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.

Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozi wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.

Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA
Duh!.
P
 
Mkuu , Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO mungu aliwaumbia ulimi .
Katibu wa UWT MKOA KILIMANJARO akiongea na wewe utadhania malaika kumbe ibilisi.

Tunahitaji kumuandikia barua ya siri mama shally Raymond mbunge wetu tumlilie kilichotupata Dar yeye kama mama mwenzetu na mama yetu.

Kama sio neema ya mungu wengine tulitamani kujiuza Dar tupate pa kulala😭😭😭 ila tukamuongopa mungu na ndoa zetu
Bado ujasema mlichofanyiwa gest mliyofikia Mama wa kichaga unaombwa kalio dar?hakika umezalilishwa
 
Akina mama wa kichaga na kipare walibebwa kama vipeto vya pumba za kulishia nguruwe, kufika Dar katibu kawaacha solemba hapo waliosumbuliwa ni ndugu wanaoishi Dar, sipati picha walivokua na huzuni na posho hawakupata na wengine period zilianza ghafla kwa mawazo
Akina mama wa kichaga na kipare WA CCM
 
Niwe muwazi na mkweli.

Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.

Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.

Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.” au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.

2. Tumekopa fedha za kula na kulala

3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko

4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.

Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozi wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.

Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA
Una uhakika na ulisemalo? Katibu wa UWT ni jirani yangu hapa Moshi. Ngoja nimtafute ajibu
 
Mkuu , Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO mungu aliwaumbia ulimi .
Katibu wa UWT MKOA KILIMANJARO akiongea na wewe utadhania malaika kumbe ibilisi.

Tunahitaji kumuandikia barua ya siri mama shally Raymond mbunge wetu tumlilie kilichotupata Dar yeye kama mama mwenzetu na mama yetu.

Kama sio neema ya mungu wengine tulitamani kujiuza Dar tupate pa kulala😭😭😭 ila tukamuongopa mungu na ndoa zetu
Ulivyo na matatizo angalia hapa:

peno hasegawa unaweza kuthibitisha haya uliyaandika?

Je, ulipoalikwa uliambiwa kuwa utarejeshewa nauli au uliambiwa kuwa kila mjumbe atajigharamia usafiri, malazi na chakula. Hakuna posho uliyo ahidiwa. Mbona sasa unakiuka tulivyo ambiwa sisi wajumbe wa UWT kutoka Mkoa wa Kilimanjaro. Nitoe ushahidi?
 
Niwe muwazi na mkweli.

Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.

Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.

Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.” au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.

2. Tumekopa fedha za kula na kulala

3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko

4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.

Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozi wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.

Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA
Tukiwambia ccm na jumuia zake ni genge la wapumbavu muhame hamtuelewi pambaneni na hali zenu, BAWACHA huko kilimanjaro uliona ilivyofana na kila mtu alirudishwa hadi mlangon kwake huku huduma zote yakiwemo malazi na chakula plus usafir ukisimamiwa kwa ustadi wa kiwango cha kimataifa.
 
Back
Top Bottom