Katibu wa UWT mkoa wa Kilimanjaro jifunze alama za nyakati, punguza kupokea mlungula na warejeshee akina mama nauli walizotumia kwenda Dar

Katibu wa UWT mkoa wa Kilimanjaro jifunze alama za nyakati, punguza kupokea mlungula na warejeshee akina mama nauli walizotumia kwenda Dar

Huyu ni mwongo. Nadhani anataka cheo chake tu. Alete vithibitisho maana mimi nilikuwa mmoja wa wajumbe
Huyu binti ni mhutu. Hatamkoa wa mara wakimkataa akiwa katibu wa UWT MKOA WA MARA. Ni mkatili nampenda rushwa mkubwa.
 
peno hasegawa unaweza kuthibitisha haya uliyaandika?

Je, ulipoalikwa uliambiwa kuwa utarejeshewa nauli au uliambiwa kuwa kila mjumbe atajigharamia usafiri, malazi na chakula. Hakuna posho uliyo ahidiwa. Mbona sasa unakiuka tulivyo ambiwa sisi wajumbe wa UWT kutoka Mkoa wa Kilimanjaro. Nitoe ushahidi?
Wewe ni mwehu.
Wilaya zingine ndani ya mkoawa kilimanjaro UWT wamepewa fedha kupitia wabunge wao na ccm.
Kupitia mkoani KATIBU amepokea akaenda kuzifanyia sherehe Dodoma.
 
Mnawaacha waume zenu na watoto mnaenda kudanga Dar kwa kisingizio cha kumpongeza mtu... Ufuska tu nan hajui tabia zenu... Malipo ya vilio vya familia zenu mlizoziacha ndio hayo mateso mbwa nyie, bahat yenu mngepatwa hata na ajali... Kaeni mtulie na familia zenu kwani mngesherekea mkoani kwenu mngepungukiwa nini...
 
Sasa naanza kukuonesha kuwa wewe ni Mzushi
Uzushi upi na mateso niliyo tuliyoyapata huku Dar.
Ndio sababu UWT ni ya wabibi, mabinti wangejiuza Dar wapate pa kulala na chakula.

Iwapo hatuta rejeshewa fedha za nauli Tsh 45,000 mara wajumbe 570 fedha za kulala 60,000 chakula Tsh 30,000 Jumla Tsh 135,000 sisi UWT mkoa wa kilimanjaro wilaya zote tutaelekeza kura za wabunge ,na madiwani upande tunaoujua sisi.(mana yetu samia hatutamuangusha kwani tunachofanyiwa UWT hajui na hajulishwi)
 
Mkome kujipendekeza mnakosa kazi ya kufanya unaenda Dar kumpongeza mtu alieshipa

Kwani mngejikusanya hapo Moshi mjini mkampongeza habari zisingemfikia?
 
Wajinga wakubwa nyie, hata mimi ningewafanyia hivyo, mlienda kupongeza kitu gani kama siyo upumbafu? hizo fedha mngetengeneza madawati mangapi badala ya kwenda kujiuza? heko kwa Katibu asiwazoeshe huu ujinga tena apate promotion awe Katibu Mkuu UWT asimamie vizuri fedha za chama.
 
Niwe muwazi na mkweli.

Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.

Tumepatwa na kila aina ya dhoruba.

Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui tutazirejeshaje.” au tutazipata wapi na katibu alisema tutarejeshewa tukifika Dar na imekuwa kinyume chake.

2. Tumekopa fedha za kula na kulala

3. Tumenyeshewa mvua mchana hadi usiku na wengine kukumbwa na mafuriko

4. Tumetelekezwa na basi lililotuleta Dar ambalo ni mali ya Mnec CCM mkoa (Tumekuja Dar wajumbe 52 na basi kwa kulipa nauli ya Tsh 45,000 kwenda na kutudi, tumefika Dar, wakati wa kuridi tumepakiwa kwenye coaster kutoka Dar kurudi moshi usiku na nauli tulilipa kwenye basi lililotupeleka Dar.

Ombi: Tunaomba Katibu wa UWT MKOA WA KILIMANJARO apangiwe majukumu mengine na sio wala hafai kuwa kiongozi wa wanawake na kuna dalili ni mzaliwa wa Rwanda ana roho ngumu sana na hana utu wala ubinadamu.

Kidumu chama cha Mapinduzi
CC:
Katibu wa UWT TAIFA
Wachagga kwa ukabila eti mzaliwa wa Rwanda

USSR
 
Bado ujasema mlichofanyiwa gest mliyofikia Mama wa kichaga unaombwa kalio dar?hakika umezalilishwa
Uzushi upi na mateso niliyo tuliyoyapata huku Dar.
Ndio sababu UWT ni ya wabibi, mabinti wangejiuza Dar wapate pa kulala na chakula.

Iwapo hatuta rejeshewa fedha za nauli Tsh 45,000 mara wajumbe 570 fedha za kulala 60,000 chakula Tsh 30,000 Jumla Tsh 135,000 sisi UWT mkoa wa kilimanjaro wilaya zote tutaelekeza kura za wabunge ,na madiwani upande tunaoujua sisi.(mana yetu samia hatutamuangusha kwani tunachofanyiwa UWT hajui na hajulishwi)
Wewe ni msaka cheo! Hivi ulikuwepo au ni umbea tu. Ulipata barua ya mwaliko na kama ulipata! Kuna pahala unaambiwa utapewa posho? Acha uzushi
 
Wewe ni mwehu.
Wilaya zingine ndani ya mkoawa kilimanjaro UWT wamepewa fedha kupitia wabunge wao na ccm.
Kupitia mkoani KATIBU amepokea akaenda kuzifanyia sherehe Dodoma.
Una uhakika! Lete vithibitisho maana wabunge Wapo! Wewe ni mzushi unatafuta cheo chake kwa udi na uvumba
 
Huyu binti ni mhutu. Hatamkoa wa mara wakimkataa akiwa katibu wa UWT MKOA WA MARA. Ni mkatili nampenda rushwa mkubwa.
Una uhakika? Ni mhutu ulimzaa wewe. That’s your word against hers! Ukiona mtu anaanza matusi, jua ameishiwa point na amepanic! Jenga hoja acha uzushi
 
Katibu wa UWT MKOA amepokea fedha za kutusaidia au kutuwezesha nauli na malazi ila ametokomea nazo zote
Maeneo mengine hata wabunge wa maeneo husika walisaidia ila huyu katibu ametufanyia mahoka na kama ccm inatesa wanawake kiasi hiki basi mama samia mpendwa wetu anayo kazi ya ziada.
Wapuuzi wakubwa nyie, ukiona mwanamke kwenye siasa ujue ndoa yake inashida ukichunguza kwa umakini sababu ya kuacha kujali familia na kuanza kudhurura hovyo kutafuta wanaume na favor
Kuna jamaa yangu anaitwa lymo alinipigia akanieleza bwashee shemeji yako anakuja mjini, nikamuuliza anakuja kutembea ooh hapana anakuja kwenye shughuli zake za kikazi nikajua mambo ya maana , kumbe ujinga ujinga tu
KUna mmoja mi alitaka kunikopa laki 1 ajili ya huu ujinga nikamtosa
 
Una uhakika? Ni mhutu ulimzaa wewe. That’s your word against hers! Ukiona mtu anaanza matusi, jua ameishiwa point na amepanic! Jenga hoja acha uzushi
Kaenda Dar kakosa bwana akapanic, unaenda kupongeza ujinga gani Dar?
 
Back
Top Bottom