Katika Amri 10 za Mungu Watanzania wamekazana na Usizini lakinI SABATO haiwahusu wacha Mungu

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Hizi dini zinatuvuruga sana.

Tunaambiwa tuamini Biblia, tumefundishwa Amri za Mungu kabla ya Ubatizo wala kuwa Mkiristo unaambiwa uzitaje kwa Kukariri.

Tukija kwenye Maisha ya kawaida, amri moja inarukwa na haitekelezwi ambayo ni amri ya nne.

Wachungaji wanakazana na usizini, usinywe pombe nk.

Viongozi wa dini wanashadadia usizini usiibe lakini hakuna anayesema kuhusu sabato(Sabbath) ukiisema tu unaitwa Msabato sio Mkiristo tena.

Roho inaniuma sana😭

Nilimuuliza Mwalimu wangu wa KKKT kama Jumapili ni Sabato? Akanijibu Jumapili ni siku ya Ufufuo, kwahiyo wao wanasherehekea Ufufuo kama ishara ya kukombolewa.. Hivyo Ni kama kufurahia Ukombozi.. Nawaelewa. Hakina anayesema Jumapili ni Sabato, Wote tunakubaliana Sabato ni Jumamosi

Wasabato naoWananichanganya. wanasema 25 Desemba sio birthday ya Yesu, lakinihawatupi tarehe Mbadala wa kusherehekea birthday ya Yesu lakini wao wanasherehekea za kwako. Wasabato Christmas wanajifanya wapo busy lakini Pilau na Biriani wanapika. Ukiwaambia naenda kanisani Jumapili wananiambia nisiende eti tunaenda kuabudu Jua. Eti Jumapili ni sikukuu ya Jua. So hiyo sikukuu inafanyika kila wiki? 😂

Hapo ndo naiona Vita za kidini kwamba ni biashara.

Huwezi nitoa KKKT.. Mambo ya Imani ni Magumu, kila Mtu afuate thehebu atakalo, tutakutana Mbinguni.

Waislam ndo hata sijui wanayoamini chimbuko lake.. Hata Quran wanasema haijaandikwa ilishushwa toka Mbinguni. Kweli? 🤔

HAPPY SABBATH ❤️
 
Wasabato naoWananichanganya. wanasema 25 Desemba sio birthday ya Yesu, lakinihawatupi tarehe Mbadala wa kusherehekea birthday ya Yesu lakini wao wanasherehekea za kwako. Wasabato Christmas wanajifanya wapo busy lakini Pilau na Biriani wanapika.

Hapo ndo naiona Vita za kidini kwamba ni biashara.

Huwezi nitoa KKKT.. Mambo ya Imani ni Magumu, kila Mtu afuate thehebu atakalo, tutakutana Mbinguni.

HAPPY SABBATH ❤️
Mkuu, pia rejea Yakobo 2:10-11 yenye kusomeka kama ifuatavyo;

10 Kwa maana mtu ye yote anayetimiza sheria yote isipokuwa akashindwa kutimiza sehemu moja tu, amekuwa na hatia ya kuvunja sheria yote.

11 Kwa sababu yeye aliyesema, “Usizini” ndiye huyo huyo aliyesema, “Usiue.” Kama huzini lakini unaua, umekuwa mvunjaji wa sheria yote.
 
Mkuu, pia rejea Yakobo 2:10-11
Ina nini?

10. Kwa maana mtu ye yote anayetimiza sheria yote isipokuwa akashindwa kutimiza sehemu moja tu, amekuwa na hatia ya kuvunja sheria yote. 11. Kwa sababu yeye aliyesema, “Usizini” ndiye huyo huyo aliyesema, “Usiue.” Kama huzini lakini unaua, umekuwa mvunjaji wa sheria yote
 
Mambo ya imani ni pure confusion, KKKT wanasema Jumapili ni siku ya kufurahi ukombozi, Wasabato wanasema Jumamosi ndo dili, Waislamu nao wana mchongo wao wa Ijumaa. Mwisho wa siku kila mtu atafungua akaunti yake ya mbinguni, tutakutana mbele kwa mbele.
 
Hizi dini zinatuvuruga sana.

Tunaambiwa tuamini Biblia, tumefundishwa Amri za Mungu kabla ya Ubatizo wala kuwa Mkiristo unaambiwa uzitaje kwa Kukariri.

Tukija kwenye Maisha ya kawaida, amri moja inarukwa na haitekelezwi ambayo ni amri ya nne.

Wachungaji wanakazana na usizini, usinywe pombe nk.

Viongozi wa dini wanashadadia usizini usiibe lakini hakuna anayesema kuhusu sabato(Sabbath) ukiisema tu unaitwa Msabato sio Mkiristo tena.

Roho inaniuma sana😭

Nilimuuliza Mwalimu wangu wa KKKT kama Jumapili ni Sabato? Akanijibu Jumapili ni siku ya Ufufuo, kwahiyo wao wanasherehekea Ufufuo kama ishara ya kukombolewa.. Hivyo Ni kama kufurahia Ukombozi.. Nawaelewa. Hakina anayesema Jumapili ni Sabato, Wote tunakubaliana Sabato ni Jumamosi

Wasabato naoWananichanganya. wanasema 25 Desemba sio birthday ya Yesu, lakinihawatupi tarehe Mbadala wa kusherehekea birthday ya Yesu lakini wao wanasherehekea za kwako. Wasabato Christmas wanajifanya wapo busy lakini Pilau na Biriani wanapika. Ukiwaambia naenda kanisani Jumapili wananiambia nisiende eti tunaenda kuabudu Jua. Eti Jumapili ni sikukuu ya Jua. So hiyo sikukuu inafanyika kila wiki? 😂

Hapo ndo naiona Vita za kidini kwamba ni biashara.

Huwezi nitoa KKKT.. Mambo ya Imani ni Magumu, kila Mtu afuate thehebu atakalo, tutakutana Mbinguni.

Waislam ndo hata sijui wanayoamini chimbuko lake.. Hata Quran wanasema haijaandikwa ilishushwa toka Mbinguni. Kweli? 🤔

HAPPY SABBATH ❤️
Hakuna sehemu yoyote kwenye Biblia imeandikwa kuwa sabato ni jumamosi, na hapo ndipo wanaojiita wasabato wanapojichanganya, kuhusu tarehe 25 mambo ni hayo hayo, wao hawawakubali wakatoliki ila wanatumia kalenda yao ambayo ni ya Papa Gregory ambayo tarehe na sikukuu zote walibuni ili kuweka kumbukumbu kwenye ibada yao, na kwa nyongeza tu, MWENYEZI MUNGU alifanya uumbaji kwa siku sita, siku ya saba akapumzika. ukumbuke Hizo siku hazina majina, pili siku Moja kwa MUNGU ni sawa na miaka 1000, Sasa unazaliwa mpaka unakufa kwa mujibu wa Biblia utakuwa umeishi masaa mangapi?
Hizi dini zinatuvuruga sana.

Tunaambiwa tuamini Biblia, tumefundishwa Amri za Mungu kabla ya Ubatizo wala kuwa Mkiristo unaambiwa uzitaje kwa Kukariri.

Tukija kwenye Maisha ya kawaida, amri moja inarukwa na haitekelezwi ambayo ni amri ya nne.

Wachungaji wanakazana na usizini, usinywe pombe nk.

Viongozi wa dini wanashadadia usizini usiibe lakini hakuna anayesema kuhusu sabato(Sabbath) ukiisema tu unaitwa Msabato sio Mkiristo tena.

Roho inaniuma sana😭

Nilimuuliza Mwalimu wangu wa KKKT kama Jumapili ni Sabato? Akanijibu Jumapili ni siku ya Ufufuo, kwahiyo wao wanasherehekea Ufufuo kama ishara ya kukombolewa.. Hivyo Ni kama kufurahia Ukombozi.. Nawaelewa. Hakina anayesema Jumapili ni Sabato, Wote tunakubaliana Sabato ni Jumamosi

Wasabato naoWananichanganya. wanasema 25 Desemba sio birthday ya Yesu, lakinihawatupi tarehe Mbadala wa kusherehekea birthday ya Yesu lakini wao wanasherehekea za kwako. Wasabato Christmas wanajifanya wapo busy lakini Pilau na Biriani wanapika. Ukiwaambia naenda kanisani Jumapili wananiambia nisiende eti tunaenda kuabudu Jua. Eti Jumapili ni sikukuu ya Jua. So hiyo sikukuu inafanyika kila wiki? 😂

Hapo ndo naiona Vita za kidini kwamba ni biashara.

Huwezi nitoa KKKT.. Mambo ya Imani ni Magumu, kila Mtu afuate thehebu atakalo, tutakutana Mbinguni.

Waislam ndo hata sijui wanayoamini chimbuko lake.. Hata Quran wanasema haijaandikwa ilishushwa toka Mbinguni. Kweli? 🤔

HAPPY SABBATH ❤️
 
Mimi ni Mlutheri Pure tena mseminari na kama haitoshi mtoto wa Kiaskofu...

Nilikwenda Kujifunza Usabato kwa Miaka 3.

Nilichokiona ni mazuri machache sana
1. Nilipenda Lessoni kodogo.
2. Nilipenda Madarasa yao kuanzia watoto pathfinder, Mabalozi, wavumbuzi nk.
3. Nilipenda Sabato ya Wageni.
4. Makambi

Ila Mengineyo yote ni Ujinga mtupu.
Mungu alikusudia kuleta Agano Jipya
Yeremia 33:31-33
Waebrania 10:8-10.
Wadbrania 12:24.

YESU NDIO MJUMBE WA AGANO JIPYA.
 
Usabato ni cult yaani itikadi. Kumtoa mtu anayeamini katika usabato ni sawa nakumuambia John Heche ahamie CCM leo.

Ni rahisi kumlisha nguruwe Mwislamu kuliko msabato. Hawa jamaa kuna mwaka waliamua kwenda Ulaya bila tiketi wala passport, ila wakaishia pale Kipawa/ Karakata
 
Mimi ni Mlutheri Pure tena mseminari na kama haitoshi mtoto wa Kiaskofu...

Nilikwenda Kujifunza Usabato kwa Miaka 3.

Nilichokiona ni mazuri machache sana
1. Nilipenda Lessoni kodogo.
2. Nilipenda Madarasa yao kuanzia watoto pathfinder, Mabalozi, wavumbuzi nk.
3. Nilipenda Sabato ya Wageni.
4. Makambi

Ila Mengineyo yote ni Ujinga mtupu.
Mungu alikusudia kuleta Agano Jipya
Yeremia 33:31-33
Waebrania 10:8-10.
Wadbrania 12:24.

YESU NDIO MJUMBE WA AGANO JIPYA.
Kwahiyo kusali jumamosi ni sawa au si sawa?
 
Tatizo ni kwamba tunapozungumzia Sabato tunaweza kuishia kubishania Jumamosi dhidi ya Jumapili, tukasahau kabisa Yesu alifundisha nini kuhusu Sabato.

Ni kweli kabisa kwamba katika Amri Kumi, Sabato ni siku ya saba (Kutoka 20:8–11). Hilo halihitaji kufichwa. Lakini mjadala hauishii hapo. Tunapaswa kujiuliza: Yesu alipokuja, alitufundisha nini kuhusu Sabato na sheria?

Yesu alisema, “Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya Sabato” (Marko 2:27), na akasema kwamba Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato (Marko 2:28). Hapa Yesu alikuwa anarekebisha namna Sabato ilivyokuwa imegeuzwa kuwa mzigo wa kidini. Ndiyo maana alifanya mema na kuponya siku ya Sabato na kusema ni halali kufanya mema siku hiyo (Mathayo 12:9–12).

Baada ya ufufuo wa Kristo, tunaona pia Wakristo wakikusanyika siku ya kwanza ya juma (Matendo 20:7), na Paulo anaonya Wakristo wasihukumiane kuhusu siku: “Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku; mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe.” (Warumi 14:5–6). Pia Wakolosai 2:16–17 inasema mtu asiwahukumu wengine kuhusu chakula, sikukuu, mwezi mpya au Sabato, kwa sababu mambo hayo yalikuwa kivuli, lakini uhalisi wake unapatikana katika Kristo.

Kwa hiyo Mkristo anayemwabudu Mungu Jumamosi asimdharau anayemwabudu Jumapili, na wa Jumapili asimdharau wa Jumamosi. Huwezi kusema mtu anayekwenda kanisani Jumapili anaabudu jua kwa sababu tu siku hiyo kwa Kiingereza inaitwa Sunday. Mtu huyo amekwenda kumwabudu Kristo, si jua. Mungu anaangalia anayemwabudu na moyo wake, si etimolojia ya jina la siku.

Na ndiyo maana Wakristo wengi wanaoabudu Jumapili hawadai kwamba Jumapili imegeuka kuwa siku ya saba. Wanaadhimisha siku ya kwanza ya juma kwa sababu ya ufufuo wa Kristo. Hilo ni jambo tofauti na kusema Jumapili ndiyo Sabato ya Agano la Kale.

Kwa hiyo tusifanye Sabato kuwa vita ya madhehebu. Yesu hakutuokoa ili tuanze kuhukumiana kwa kalenda. Sabato inapaswa kutuelekeza kwa Mungu, na Kristo ndiye Bwana wa Sabato. Kama unaabudu Jumamosi, mwabudu Kristo. Kama dhamiri yako inakuongoza kukusanyika Jumapili kwa kumbukumbu ya ufufuo wake, mwabudu Kristo. Lakini usimhukumu mwingine kana kwamba wokovu wake unategemea siku uliyochagua kwenda kanisani.

Mwisho wa yote, wokovu wetu hauko katika Jumamosi wala Jumapili; wokovu wetu uko katika Yesu Kristo. ❤️🙏
 
Hizi dini zinatuvuruga sana.

Tunaambiwa tuamini Biblia, tumefundishwa Amri za Mungu kabla ya Ubatizo wala kuwa Mkiristo unaambiwa uzitaje kwa Kukariri.

Tukija kwenye Maisha ya kawaida, amri moja inarukwa na haitekelezwi ambayo ni amri ya nne.

Wachungaji wanakazana na usizini, usinywe pombe nk.

Viongozi wa dini wanashadadia usizini usiibe lakini hakuna anayesema kuhusu sabato(Sabbath) ukiisema tu unaitwa Msabato sio Mkiristo tena.

Roho inaniuma sana😭

Nilimuuliza Mwalimu wangu wa KKKT kama Jumapili ni Sabato? Akanijibu Jumapili ni siku ya Ufufuo, kwahiyo wao wanasherehekea Ufufuo kama ishara ya kukombolewa.. Hivyo Ni kama kufurahia Ukombozi.. Nawaelewa. Hakina anayesema Jumapili ni Sabato, Wote tunakubaliana Sabato ni Jumamosi

Wasabato naoWananichanganya. wanasema 25 Desemba sio birthday ya Yesu, lakinihawatupi tarehe Mbadala wa kusherehekea birthday ya Yesu lakini wao wanasherehekea za kwako. Wasabato Christmas wanajifanya wapo busy lakini Pilau na Biriani wanapika. Ukiwaambia naenda kanisani Jumapili wananiambia nisiende eti tunaenda kuabudu Jua. Eti Jumapili ni sikukuu ya Jua. So hiyo sikukuu inafanyika kila wiki? 😂

Hapo ndo naiona Vita za kidini kwamba ni biashara.

Huwezi nitoa KKKT.. Mambo ya Imani ni Magumu, kila Mtu afuate thehebu atakalo, tutakutana Mbinguni.

Waislam ndo hata sijui wanayoamini chimbuko lake.. Hata Quran wanasema haijaandikwa ilishushwa toka Mbinguni. Kweli? 🤔

HAPPY SABBATH ❤️
Alafu Kuna Ile usiibe mke wa mtu kwahiyo mume wa mtu ni ruksa kumuiba?
 
Wasabato wanakazana na amri ya nne ila amri nyingine zote, ikiwemo amri kuu ya upendo si kitu kwao.

Injili yao imejikita kwenye amri ya nne, zipo mpaka nyimbo zakusimanga makanisa mengine kisa amri ya nne.

Wakati injili ni habari njema za uzima wa milele alizoleta Yesu. Kama ni amri basi ukiishika amri ya upendo, huwezi kushinda ukihubiri hukumu kwa makanisa mengine kisa amri ya nne.

Yesu alipakwa mafuta na mwanamke kahaba, pengine hata hela ya mafuta yale (yalikua ya thamani sana) aliipata kwa ukahaba.

Yesu hakumuhukumu mwanamke aliyeletwa mbele ya watu apigwe mawe kwa sheria ya kuzini. Hivi kati yenu nyinyi wasababo mmojawapo ndo angekua Yesu si mngetuchinja hadhalani kabisa😄
 
Amri ya 3 ikumbuke siku ya Bwana nakuitakasa , Amri ya 4 waheshimu baba na mama yako siku zako zipate kuwa nyingi .
 
Mkuu, pia rejea Yakobo 2:10-11 yenye kusomeka kama ifuatavyo;

10 Kwa maana mtu ye yote anayetimiza sheria yote isipokuwa akashindwa kutimiza sehemu moja tu, amekuwa na hatia ya kuvunja sheria yote.

11 Kwa sababu yeye aliyesema, “Usizini” ndiye huyo huyo aliyesema, “Usiue.” Kama huzini lakini unaua, umekuwa mvunjaji wa sheria yote.
Tukutane motoni
 
Tukutane motoni
Hakuna moto wa milele wala peponi vyote hivyo vinapatikana hapa hapa Duniani ukiwa na good time upo peponi kama upo kwenye msoto mkali iyo ndo jehanamu yenyewe.
 
Sanato.dini ya wajita, wajaluo , na Wapare wote wanapenda ♥️
 
Back
Top Bottom