Mi na hisi kipato chao kikubwa kila siku waishi hivi kupitia hamasNikiangalia picha za Maeneo yote ya Palestina kuna maghorofa tena ya maana sana. Ila sifahamu wao hao raia wa Taifa hilo wanapata wapi pesa kiasi cha kuweza kujenga maghorofa tupu katika miji yao?
Ukiangalia picha za vita, Tizama maghorofa ya Palestina, linganisha na Maghorofa ya Ukraine, utashangaa kuona Palestina ni Taifa lina Majengo mazuri na Imara sana, hata magofu/masalia yanonesha hivyo.
Nini shughuli za wapalesina hasa katika ardhi yao, tukiacha maeneo yaliyokumbwa na vita. Je ni Mafuta, au nini hasa huwapa pata la kuweza kumudu kujenga majumba makubwa kiasi kile?
Inawezekana, kwasababu ukiangalia kwenye picha, hakuna Nyumba ya hovyo hovyo kama hizi zetu hapa. Kule ni Maghorofa tupu na siyo maghorofa uchwala ni maghorofa kweli.Huenda wafadhili wake kina iran, qatar na mataifa mengine pro palestine wanawapa hela za kufanya maendeleo yao
Hamas wao zaidi ya VITA wana jishughulisha na nini?Mi na hisi kipato chao kikubwa kila siku waishi hivi kupitia hamas
Sasa hao West BANK wanafanya nini, wanalima, au wao wanaviwanda?Wa gaza Wanasaidiwa na ndugu zao Toka westbank.na wa Palestrina wanalima bustan,viungo,utalii..si unajua ndo nchi aliyopita hata yesu
Unaitengeneza mwenyewe kulingana na picha inayotengenezwa hapa kwa maneno.Picha ziko wapi sasa
waache vita wajenge gaza yaoMy friend, Kama wakristo wanavyosema kuwa ukimbariki Israel utabarikiwa,magaidi nao husema Kila anaembariki Mpalestina amebarikiwa na anaemlaani,amelaaniwa. Nchi nyingi zakiarabu zinapeleka mafungu Yao ya kumi huko,,fauka ya hayo,Palestinian economy inategemea sana donations and international aid kutoka Kwa mashirika na nchi Kama vile UNRWA, Qatar, Turkey, na Umoja wa Ulaya, and non-governmental organizations. Contribution to the economy also comes from remittances sent by the Palestinian diaspora.
Ndio maana hawanaga uchungu na Mali zao maana sijasho lao. Huwezi kuskia wakililia majumba Yao kuharibiwa. Baada ya vita kusimama,kufikia Jana semi elfu 86 zilikuwa zishaingiza misaada Gaza. Unajua ukubwa wa huo msaada???
Ila pia Palestine wanauzaga cement, base metals, iron and steel, food and beverages, furniture, plastics and dairy products. Tuonane baadae iwapo utauliza Tena swali.
Misaada.Nikiangalia picha za Maeneo yote ya Palestina kuna maghorofa tena ya maana sana. Ila sifahamu wao hao raia wa Taifa hilo wanapata wapi pesa kiasi cha kuweza kujenga maghorofa tupu katika miji yao?
Ukiangalia picha za vita, Tizama maghorofa ya Palestina, linganisha na Maghorofa ya Ukraine, utashangaa kuona Palestina ni Taifa lina Majengo mazuri na Imara sana, hata magofu/masalia yanonesha hivyo.
Nini shughuli za wapalesina hasa katika ardhi yao, tukiacha maeneo yaliyokumbwa na vita. Je ni Mafuta, au nini hasa huwapa pata la kuweza kumudu kujenga majumba makubwa kiasi kile?
Upuuuzi unaandika yaani watu wanaishi na kujenga Kwa Hela za misaada ,My friend, Kama wakristo wanavyosema kuwa ukimbariki Israel utabarikiwa,magaidi nao husema Kila anaembariki Mpalestina amebarikiwa na anaemlaani,amelaaniwa. Nchi nyingi zakiarabu zinapeleka mafungu Yao ya kumi huko,,fauka ya hayo,Palestinian economy inategemea sana donations and international aid kutoka Kwa mashirika na nchi Kama vile UNRWA, Qatar, Turkey, na Umoja wa Ulaya, and non-governmental organizations. Contribution to the economy also comes from remittances sent by the Palestinian diaspora.
Ndio maana hawanaga uchungu na Mali zao maana sijasho lao. Huwezi kuskia wakililia majumba Yao kuharibiwa. Baada ya vita kusimama,kufikia Jana semi elfu 86 zilikuwa zishaingiza misaada Gaza. Unajua ukubwa wa huo msaada???
Ila pia Palestine wanauzaga cement, base metals, iron and steel, food and beverages, furniture, plastics and dairy products. Tuonane baadae iwapo utauliza Tena swali.
Nchi ikiwa kwenye vita na inashambuliwa misaada ya kibanadam lazima ipelekwe maana wananchi kipindi Cha vita hawaezi kwenda kufanya kazi ?Wanajengewa ata baada yamika mitano yatatokea mengi zaid tena mazuri waarabu wameshajipanga,vitu vya msaada havnna uchungu ndomana wanaanzisha vururugu wakijua yakibomolewa yatajengwa tuu. Na wana shirika lao kabisaa lamisaada lakuwahudumia chakula kutoka umoja wa mataifa nashule mahospital ya misaada
Wana shughuli nyingi sana za kiuchumi ila za kutumia akili hususani katika kutoa huduma ; consultancy , mambo ya teknolojia (makampuni ya wapalestine),.Inawezekana, kwasababu ukiangalia kwenye picha, hakuna Nyumba ya hovyo hovyo kama hizi zetu hapa. Kule ni Maghorofa tupu na siyo maghorofa uchwala ni maghorofa kweli.
Lakini sijawahi kusikia kama Palestina wanachimba mafuta, au wana uza madini nje au labda wanalima sana kuliko sisi.
Ardi yenyewe jangwa lile nikiangalia masalia ya vita sioni hata bustani za Mboga, huwa najiuliza wao kipato chao hutoka wapi?
Misaada sio ya kujenga magorofa na barabara , Wapalestina wamakuwa kama special group tangu mwaka 1948 na nyuma ya hapo kidogo ..Hakuna msaada wa kuleta maendeleo hata kidogo .My friend, Kama wakristo wanavyosema kuwa ukimbariki Israel utabarikiwa,magaidi nao husema Kila anaembariki Mpalestina amebarikiwa na anaemlaani,amelaaniwa. Nchi nyingi zakiarabu zinapeleka mafungu Yao ya kumi huko,,fauka ya hayo,Palestinian economy inategemea sana donations and international aid kutoka Kwa mashirika na nchi Kama vile UNRWA, Qatar, Turkey, na Umoja wa Ulaya, and non-governmental organizations. Contribution to the economy also comes from remittances sent by the Palestinian diaspora.