Nikiangalia picha za Maeneo yote ya Palestina kuna maghorofa tena ya maana sana. Ila sifahamu wao hao raia wa Taifa hilo wanapata wapi pesa kiasi cha kuweza kujenga maghorofa tupu katika miji yao?
Ukiangalia picha za vita, Tizama maghorofa ya Palestina, linganisha na Maghorofa ya Ukraine, utashangaa kuona Palestina ni Taifa lina Majengo mazuri na Imara sana, hata magofu/masalia yanonesha hivyo.
Nini shughuli za wapalesina hasa katika ardhi yao, tukiacha maeneo yaliyokumbwa na vita. Je ni Mafuta, au nini hasa huwapa pata la kuweza kumudu kujenga majumba makubwa kiasi kile?