Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Tafiti ni gharama na sisi wafrika hatupendi kufanya tafiti kabisa.
Hata hii lugha ya Kiswahili wazungu ndiyo walifanya kazi ya usanifishaji. Tafiti nyingi ni za wazungu.
Hata hii lugha ya Kiswahili wazungu ndiyo walifanya kazi ya usanifishaji. Tafiti nyingi ni za wazungu.
Tulishafanya utafiti na tukaja na majibu,ikiwemo apple punch ya Kule Madagascar kutibu Corona.Prof. Kabudi anajua hilo.