Katika bara la Antarctica kuna vitu vinafikirisha

Ni Mwalimu Gani huyo alikufundisha kuwa Bars la Antarctica halíkaliwi na Watu?? Mtafute umuulize Vizuri...na umshauri aache Kazi ya Ualimu!
Watu gani wanakaa huko mkuu?? ili niende na maelezo ya kutosha, ajione poyoyo aache kazi mwenyewe
 
Antarctica ndiyo mwisho wa dunia, ukienda huko utakuta kuna kingo kabisa....Wazungu wanalificha hili maana hawataki kuumbuka kuwa dunia sio duara bali dunia ni Flat.
Hapo kwenye weupe ndiyo antarctica
Na mimi nilikua najiuliza sana.

So bara la antartica liko round??,maana sio ndo mwisho

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Antarctica ndiyo mwisho wa dunia, ukienda huko utakuta kuna kingo kabisa....Wazungu wanalificha hili maana hawataki kuumbuka kuwa dunia sio duara bali dunia ni Flat.
Hapo kwenye weupe ndiyo antarctic
Aisee, kwahiyo mkuu kwa hiyo nadharia yako, inasaje kuhusu dunia kujizungusha na kulizunguka jua??

Na kwanini hili bara liwe na baridi kali namna hiyo kama lipo hapo katikati tu ambapo nadhani jua linalifikia vizuri tu.!?
 
Kwa mimi ninavyojua, ilo continent kabla ya dunia kujimega vipande kutoka sehem moja(pangea) lilikuwa sehem ya bara la afrika na pia kuna wakazi walikuwa wakiishi huko.

Pia theory ya flat earth huwa unaweza kupata proof kutoka huko, maana mpka sasa hakuna anayeweza kuleta umbo halisi la dunia nje ya mipicha ya photoshoot kutok kwenye macomputer na picha za uongo kutoka NASA.

Masalia ya mabaki ya wakazi wa zamani ambao baadhi yao hawakuwa wakazi halisi wa dunia hii waweza yapata huko, pia technolojia ya watu wa kale imebaki huko, so wenye dunia yao hawawez ruhusu pua ya mtu ivuke huko kirahisi, watawawekea vikwavo vingi na uongo uongo mwingi wa kuwatisha ili msiendw huko, but behind the scene kuna mazito.

Haya ndiyo niyajuayo.View attachment 2290830
Tofauti ya saa kutoka nchi moja hadi nyingine inaashiria kuwa dunia ni flat? Ships visibility je?
 
Aisee, kwahiyo mkuu kwa hiyo nadharia yako, inasaje kuhusu dunia kujizungusha na kulizunguka jua??

Na kwanini hili bara liwe na baridi kali namna hiyo kama lipo hapo katikati tu ambapo nadhani jua linalifikia vizuri tu.!?
Mtu mwingine atuletee picha ya dunia duara upande mwingine. I mean kuna upande huwa tunaoneshwa ambapo ndipo kuna mabara karibu yote. Nyuma yake kuna nini?
 
Huenda ni bahari, na ile picha si ni edited tu mkuu sidhani kama ni exactly ndivyo dunia huonekana vile huenda kuna vitu wamepunguza/kuongeza kulingana na mahali picha inapoenda kutumika, kwamba hivyo vyombo vyao ndo vimeipiga picha ikaonekana vile??
 
S
Antarctica

Kuna kitu kinanifikirisha sana kuhusu hili bara lisiloongelewa sana.

Wakati nasoma tulisoma mabara yote 6 vizuri kabisa na jamii ziishizo huku zinafahamika lakini tukaambiwa hili bara halikiwi na binadamu kwasababu ya baridi lake kali.

Je ni halikaliwi au halikuwahi kukaliwa kabisa!?

Na halikaliwi na binadamu sawa lakini ndo hata halifanyiwi tafiti mbalimbali maana ni kubwa kusema walishamaliza kulifanyia tafiti sidhani kama inawezekana!.

Yaani wanaenda anga za mbali huko, wanatuma rockets mbali kabisa na dunia kutafuta taarifa za huko nje lakini za hapa ndani kwetu mbona kama hazijitoshelezi.

Hili bara halina mimea na viumbe hai wengine?
Halina milima na mabonde ama vitu vya thamani zaidi ya kua na barafu tu?

kuna space suits za kuendea huko juu na wakasurvive ina maana hakuna chombo/mavazi ya kuendea hili bara!?

Vipi kwenye angle ya utalii (tumekaribishwa njombe kutalii baridi), vipi huko kwenye hilo bara hakuna hata cha kutalii!?

Nilijaribu kuchek mtandaoni nikaona bado vitu vinafichwa sana kulihusu japo umbali kutoka nchi zilizo kusini mwa dunia mpaka hilo bara si mbali kabisa kwa ndege. Mfano kutoka Australia ni km 6400 kama masaa 9 tu kwa ndege. Km 6927 kutoka South Africa.

Mwenye picha maelezo au source yoyote tunayoweza pata habari zaidi kuhusu hili bara tafadhari tujuze.
Sisi wa flat earth society tunaamini kuwa hilo bara ni katika ukingo wa dunia, hivyo si rahisi Kwa wapenda Dunia kwenda huko pembezoni.
 
Viumbe wapo wengi sana moja wapo ni hawa...
Penguin.png
 
Kwa mimi ninavyojua, ilo continent kabla ya dunia kujimega vipande kutoka sehem moja(pangea) lilikuwa sehem ya bara la afrika na pia kuna wakazi walikuwa wakiishi huko.

Pia theory ya flat earth huwa unaweza kupata proof kutoka huko, maana mpka sasa hakuna anayeweza kuleta umbo halisi la dunia nje ya mipicha ya photoshoot kutok kwenye macomputer na picha za uongo kutoka NASA.

Masalia ya mabaki ya wakazi wa zamani ambao baadhi yao hawakuwa wakazi halisi wa dunia hii waweza yapata huko, pia technolojia ya watu wa kale imebaki huko, so wenye dunia yao hawawez ruhusu pua ya mtu ivuke huko kirahisi, watawawekea vikwavo vingi na uongo uongo mwingi wa kuwatisha ili msiendw huko, but behind the scene kuna mazito.

Haya ndiyo niyajuayo.View attachment 2290830
Unapataje usiku na mchana ikiwa dunia ni flat kama sahani ebu fafanua tafadhali
 
Mtu mwingine atuletee picha ya dunia duara upande mwingine. I mean kuna upande huwa tunaoneshwa ambapo ndipo kuna mabara karibu yote. Nyuma yake kuna nini?
Huenda ni bahari, na ile picha si ni edited tu mkuu sidhani kama ni exactly ndivyo dunia huonekana vile huenda kuna vitu wamepunguza/kuongeza kulingana na mahali picha inapoenda kutumika, kwamba hivyo vyombo vyao ndo vimeipiga picha ikaonekana vile??
Ingia Google andika radio garden kisha angalia picha ya dunia duara ilivyo
 
Back
Top Bottom