Katika bara la Antarctica kuna vitu vinafikirisha

S

Sisi wa flat earth society tunaamini kuwa hilo bara ni katika ukingo wa dunia, hivyo si rahisi Kwa wapenda Dunia kwenda huko pembezoni.
Sawa Kwa nyie mnaamini ni ukingoni mwa dunia...! ila wote tunajua penye ukingo basi kuna mwanzo, sasa ili huko pawe ukingoni je mwanzoni pa dunia ni wapi mkuu?

Na kama hiyo haitoshi kama dunia ni flat je tunapataje usiku na mchana? Maana isije ikawa kuamini dunia ni flat ni kama Imani tu ambayo mtu unaamua tu kuamini ata kama hakuna majibu ya maswali muhimu
 
Nani alikufundisha kuwa dunia ni duara?
 
Huenda ni bahari, na ile picha si ni edited tu mkuu sidhani kama ni exactly ndivyo dunia huonekana vile huenda kuna vitu wamepunguza/kuongeza kulingana na mahali picha inapoenda kutumika, kwamba hivyo vyombo vyao ndo vimeipiga picha ikaonekana vile??
Picha ni edited ili kuyaweka mabala yote pamoja kwa reasons za kielimu, thats why kwenye picha unaona Marekani na Russia ziko mbali while ziko jirani tu hata kisafiri ni masaa machache tu.
 
Dunia siyo flat hilo nina uhakika 100%. Hilo bara lina baridi sana kwahiyo ni vigumu kufanya tafiti. Linahitaji bajeti kubwa sana ya kifedha.
Hawa hawa Nasa unawaopinga na kusema photoshop hata hiyo Adobe photoshop ukipewa huwezi kutumia.
Kwa mimi ninavyojua, ilo continent kabla ya dunia kujimega vipande kutoka sehem moja(pangea) lilikuwa sehem ya bara la afrika na pia kuna wakazi walikuwa wakiishi huko.

Pia theory ya flat earth huwa unaweza kupata proof kutoka huko, maana mpka sasa hakuna anayeweza kuleta umbo halisi la dunia nje ya mipicha ya photoshoot kutok kwenye macomputer na picha za uongo kutoka NASA.

Masalia ya mabaki ya wakazi wa zamani ambao baadhi yao hawakuwa wakazi halisi wa dunia hii waweza yapata huko, pia technolojia ya watu wa kale imebaki huko, so wenye dunia yao hawawez ruhusu pua ya mtu ivuke huko kirahisi, watawawekea vikwavo vingi na uongo uongo mwingi wa kuwatisha ili msiendw huko, but behind the scene kuna mazito.

Haya ndiyo niyajuayo.View attachment 2290830
 
Hiyo theory utakuja aibika siku moja.
Angalia mbingu jinsi ilivyo, nenda ufukweni mwa ziwa au bahari utaona kabisa theory yako inagoma
S

Sisi wa flat earth society tunaamini kuwa hilo bara ni katika ukingo wa dunia, hivyo si rahisi Kwa wapenda Dunia kwenda huko pembezoni.
 
Kwa mimi ninavyojua, ilo continent kabla ya dunia kujimega vipande kutoka sehem moja(pangea) lilikuwa sehem ya bara la afrika na pia kuna wakazi walikuwa wakiishi huko.

Pia theory ya flat earth huwa unaweza kupata proof kutoka huko, maana mpka sasa hakuna anayeweza kuleta umbo halisi la dunia nje ya mipicha ya photoshoot kutok kwenye macomputer na picha za uongo kutoka NASA.

Masalia ya mabaki ya wakazi wa zamani ambao baadhi yao hawakuwa wakazi halisi wa dunia hii waweza yapata huko, pia technolojia ya watu wa kale imebaki huko, so wenye dunia yao hawawez ruhusu pua ya mtu ivuke huko kirahisi, watawawekea vikwavo vingi na uongo uongo mwingi wa kuwatisha ili msiendw huko, but behind the scene kuna mazito.

Haya ndiyo niyajuayo.View attachment 2290830

Huu ndio ukweli.

Matapeli wanatuambia dunia ni mviringo! Kye! kye! kye! kye! kye!

Yaani hata kwa macho ya kawaida unaona kabisa dunia ni tambarare lakini jamaa wamekomaa wanasema dunia ni YAI. [emoji1787][emoji1787]
 
Nani alikufundisha kuwa dunia ni duara?
We jamaa inabidi ufike hatua uache tabia ya kujibu vitu Kwa mihemko kwenye comments zako...! hapo umeona nimeongelea habari ya dunia duara?

Punguza ujuaji kwenye kila kitu na kama Una majibu juu ya maswali yaliyoulizwa juu ya dunia kuwa flat ni kheri ukajibu Kwa manufaa ya wengine pia...!

By the way, Nani aliekufundisha kuwa dunia ni Flat?
 
Nani alikufundisha kuwa dunia ni duara?
We jamaa inabidi ufike hatua uache tabia ya kujibu vitu Kwa mihemko kwenye comments zako...! hapo umeona nimeongelea habari ya dunia duara?

Punguza ujuaji kwenye kila kitu na kama Una majibu juu ya maswali yaliyoulizwa juu ya dunia kuwa flat ni kheri ukajibu Kwa manufaa ya wengine pia

Tuanze na tunapataje usiku na mchana kama dunia ni Flat? Mwenzio pale amesema kwenye bara la Antarctica ni ukingo au mwisho wa dunia tusaidie kujua mwanzo wa dunia ni upi?

By the way, Nani aliekufundisha kuwa dunia ni Flat?
 
Antarctica ndiyo mwisho wa dunia, ukienda huko utakuta kuna kingo kabisa....Wazungu wanalificha hili maana hawataki kuumbuka kuwa dunia sio duara bali dunia ni Flat.
Hapo kwenye weupe ndiyo antarctica
Hii chai, hapo kweli ni Antarctica?
 
Back
Top Bottom