Tulishafanya utafiti na tukaja na majibu,ikiwemo apple punch ya Kule Madagascar kutibu Corona.Prof. Kabudi anajua hilo.
Sio tafiti nyingi,Malizia tafiti zote tu.Waafrika hayo sio mambo yetu.Tafiti ni gharama na sisi wafrika hatupendi kufanya tafiti kabisa.
Hata hii lugha ya Kiswahili wazungu ndiyo walifanya kazi ya usanifishaji. Tafiti nyingi ni za wazungu.
Wewe ulifahamuje kuhusu hizo kingo? Labda ulishawahi kufika na kufanya tafiti huko?Antarctica ndiyo mwisho wa dunia, ukienda huko utakuta kuna kingo kabisa....Wazungu wanalificha hili maana hawataki kuumbuka kuwa dunia sio duara bali dunia ni Flat.
Hapo kwenye weupe ndiyo antarctica
Ulienda lini huko??
Baada ya kingo kuna nini?Antarctica ndiyo mwisho wa dunia, ukienda huko utakuta kuna kingo kabisa....Wazungu wanalificha hili maana hawataki kuumbuka kuwa dunia sio duara bali dunia ni Flat.
Hapo kwenye weupe ndiyo antarctica
Flat earthers mtu wenye utindio wa ubongo ana uhafadhali kubwa kuliko hao jamaa.Antarctica ndiyo mwisho wa dunia, ukienda huko utakuta kuna kingo kabisa....Wazungu wanalificha hili maana hawataki kuumbuka kuwa dunia sio duara bali dunia ni Flat.
Hapo kwenye weupe ndiyo antarctica
Acheni kuharibu nyuzi za watu!Umeshaimaliza njaa ya apo nyumbani kwenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni Mwalimu Gani huyo alikufundisha kuwa Bars la Antarctica halíkaliwi na Watu?? Mtafute umuulize Vizuri...na umshauri aache Kazi ya Ualimu!
Mbona walishaligawana,kila taifa kubwa Lina kipande chake?Antarctica
Kuna kitu kinanifikirisha sana kuhusu hili bara lisiloongelewa sana.
Wakati nasoma tulisoma mabara yote 6 vizuri kabisa na jamii ziishizo huku zinafahamika lakini tukaambiwa hili bara halikiwi na binadamu kwasababu ya baridi lake kali.
Je ni halikaliwi au halikuwahi kukaliwa kabisa!?
Na halikaliwi na binadamu sawa lakini ndo hata halifanyiwi tafiti mbalimbali maana ni kubwa kusema walishamaliza kulifanyia tafiti sidhani kama inawezekana!.
Yaani wanaenda anga za mbali huko, wanatuma rockets mbali kabisa na dunia kutafuta taarifa za huko nje lakini za hapa ndani kwetu mbona kama hazijitoshelezi.
Hili bara halina mimea na viumbe hai wengine?
Halina milima na mabonde ama vitu vya thamani zaidi ya kua na barafu tu?
kuna space suits za kuendea huko juu na wakasurvive ina maana hakuna chombo/mavazi ya kuendea hili bara!?
Vipi kwenye angle ya utalii (tumekaribishwa njombe kutalii baridi), vipi huko kwenye hilo bara hakuna hata cha kutalii!?
Nilijaribu kuchek mtandaoni nikaona bado vitu vinafichwa sana kulihusu japo umbali kutoka nchi zilizo kusini mwa dunia mpaka hilo bara si mbali kabisa kwa ndege. Mfano kutoka Australia ni km 6400 kama masaa 9 tu kwa ndege. Km 6927 kutoka South Africa.
Mwenye picha maelezo au source yoyote tunayoweza pata habari zaidi kuhusu hili bara tafadhari tujuze.
Kweli kabisaMkuu salaam kwanza Antarctica ni bara la mwisho kugunduliwa yaani liligundukiwa juzi tu hapo mwaka 1820 na baada ya hapo likaja kutembelewa kwa mara ya kwanza miaka mia baadae..kwa sasa Antarctica wakubwa wa dunia wamejimilikisha maeneo na hutumika zaidi kufanyia research za kisayansi kuna nchi kama Usa,Pakistani, India,Chile,Norway,Argentina,France na UK Zina maeneo huko...
Milk Tnimeshafika huko mkuu kuna mademu wakali hatari
Huyu ni Mrumi kaja na nadharia za akina St. Thomas Acquinus na Cicero.Baada ya kingo kuna nini?
Kama ndio mwisho wa dunia mwanzo wa dunia ni upi?
Kama ndio mwisho wa dunia inamaana ukienda pande 16 za dunia utalikuta hilo bara na kingo zake?
Hilo hapo bara lenuView attachment 2290762Huyu ni Mrumi kaja na nadharia za akina St. Thomas Acquinus na Cicero.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Antarctica ndiyo mwisho wa dunia, ukienda huko utakuta kuna kingo kabisa....Wazungu wanalificha hili maana hawataki kuumbuka kuwa dunia sio duara bali dunia ni Flat.
Hapo kwenye weupe ndiyo antarctica
Tuelezee kidogo kama kuproof picha tu haitoshi.Kwa mimi ninavyojua, ilo continent kabla ya dunia kujimega vipande kutoka sehem moja(pangea) lilikuwa sehem ya bara la afrika na pia kuna wakazi walikuwa wakiishi huko.
Pia theory ya flat earth huwa unaweza kupata proof kutoka huko, maana mpka sasa hakuna anayeweza kuleta umbo halisi la dunia nje ya mipicha ya photoshoot kutok kwenye macomputer na picha za uongo kutoka NASA.
Masalia ya mabaki ya wakazi wa zamani ambao baadhi yao hawakuwa wakazi halisi wa dunia hii waweza yapata huko, pia technolojia ya watu wa kale imebaki huko, so wenye dunia yao hawawez ruhusu pua ya mtu ivuke huko kirahisi, watawawekea vikwavo vingi na uongo uongo mwingi wa kuwatisha ili msiendw huko, but behind the scene kuna mazito.
Haya ndiyo niyajuayo.View attachment 2290830
Soma uelewe usikurupuke kua wa kwanza kucomment.Ulienda lini huko??