Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Antarctica
Kuna kitu kinanifikirisha sana kuhusu hili bara lisiloongelewa sana.
Wakati nasoma tulisoma mabara yote 6 vizuri kabisa na jamii ziishizo huku zinafahamika lakini tukaambiwa hili bara halikiwi na binadamu kwasababu ya baridi lake kali.
Je ni halikaliwi au halikuwahi kukaliwa kabisa!?
Na halikaliwi na binadamu sawa lakini ndo hata halifanyiwi tafiti mbalimbali maana ni kubwa kusema walishamaliza kulifanyia tafiti sidhani kama inawezekana!.
Yaani wanaenda anga za mbali huko, wanatuma rockets mbali kabisa na dunia kutafuta taarifa za huko nje lakini za hapa ndani kwetu mbona kama hazijitoshelezi.
Hili bara halina mimea na viumbe hai wengine?
Halina milima na mabonde ama vitu vya thamani zaidi ya kua na barafu tu?
kuna space suits za kuendea huko juu na wakasurvive ina maana hakuna chombo/mavazi ya kuendea hili bara!?
Vipi kwenye angle ya utalii (tumekaribishwa njombe kutalii baridi), vipi huko kwenye hilo bara hakuna hata cha kutalii!?
Nilijaribu kuchek mtandaoni nikaona bado vitu vinafichwa sana kulihusu japo umbali kutoka nchi zilizo kusini mwa dunia mpaka hilo bara si mbali kabisa kwa ndege. Mfano kutoka Australia ni km 6400 kama masaa 9 tu kwa ndege. Km 6927 kutoka South Africa.
Mwenye picha maelezo au source yoyote tunayoweza pata habari zaidi kuhusu hili bara tafadhari tujuze.