Katika Empire zote zilizowahi kuwepo duniani, Roman Empire bado inaendelea kutawala

Katika Empire zote zilizowahi kuwepo duniani, Roman Empire bado inaendelea kutawala

British ni global kweli maana effect yake hadi Sasa inaendelea kusumbua.
Sijaona German empire au ndio inawekwa kwenye ottoman empire!?
Hao wote ni watoto wa roman empire.........roman empire haijafa sema ime evolve tu inatawala kwa mgongo tofauti
 
Imegawanyika wapi na lini?!

Dondoo katika picha!

Ikikufaa, peruzi mtandaoni ujiongezee maarifa kuhusu mambo ya kale, yaliyopo na yajayo
 

Attachments

  • Screenshot_2024-11-09-23-13-06-92.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-13-06-92.jpg
    307.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-11-09-23-14-12-72.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-14-12-72.jpg
    248.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-11-09-23-12-20-80.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-12-20-80.jpg
    406.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-11-09-23-15-49-61.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-15-49-61.jpg
    238.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-11-09-23-08-19-14.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-08-19-14.jpg
    206.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-11-09-23-14-19-94.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-14-19-94.jpg
    297.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-11-09-23-09-27-24.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-09-27-24.jpg
    264.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-11-09-23-09-55-68.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-09-55-68.jpg
    305.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-11-09-23-08-40-23.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-08-40-23.jpg
    220.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-11-09-23-08-46-30.jpg
    Screenshot_2024-11-09-23-08-46-30.jpg
    254.8 KB · Views: 1
Usiingize mambo ya imani kwenye haya mambo, Jesuits ni adui wa kila mmoja sio wasabato tu.

Siku ukijua ni nani waliohusika kuzamisha meli ya Titanic ndyo utaua Jesuits Ni watu wa aina gani.
Conspiracy theories kuziamini ni uzoba kama kuamini kuna some supernatural 'thing' kilichouumba dunia(what do you mean religiously by 'dunia'? is it planet Earth or the whole universe?) .Aliyeumba MBINGU na DUNIA. What is the right translation of MBINGU religiously? Is it SKY or HEAVEN?
Wasabato na makanisa mengine madogomadogo huwa wanategemea kushambulia Catholics ili wawe relevant, it's all crystal clear.
NB: Hakuna cha Jesuits wala kitu gani, dini zote ni utapeli. Faida zao kwenye mamb kama elimu na afya ndiyo vitu muhimu vinavyoonekana.
Titanic ilikuwa ajali kama ajali nyingine.
 
Back
Top Bottom