View attachment 3164428
Ulisema South America, hapo nimekuwekea Data za South na North Amerika. Ukichukua hizo data za South Merika na Afrika hazifiki hiyo percent uliyoiweka, ambayo ulilenga kuonyesha South Amerika na Afrika zina 70% ya waumini wote wa Catholic duniani.
Ukasema Afrika ni Masikini kwa kuwa ina waumini wengi wa katoliki kuliko Ulaya ambao ukadai maendeleo yao ni sababu wameachana na ukatoliki, haya angalia takwimu wakatoliki waliopo Ulaya Vs Afrika.
nimekutengenezea kila kitu , kilichobaki kwa jinsi unavyojibu unaonyesha ufinyu wako wa namna ya kusoma na ku interprete data.