Katika Empire zote zilizowahi kuwepo duniani, Roman Empire bado inaendelea kutawala

Katika Empire zote zilizowahi kuwepo duniani, Roman Empire bado inaendelea kutawala

Ulivyo fala hata kusoma haujui unakimbilia kuuliza utimamu wa mtu. Wewe unaweza kuhoji utimamu wangu mimi? Rudia kusoma hicho nilichokiweka hapo halafu rudi juu zaidi ulipoanzia.
Kila kitu nimeweka na maelezo yapo wazi, lakini bado uaonyesha ufinyu wako wa akili ulivyo.
Kwa kukusaidia tu, ulicho quote ni muendelezo wa nchi nilizozitaja ambapo kwa Afrika nilikuwekea takwimu za nchi ya Congo pekee.

Siku nyingine uwe unasoma kuelewa badala ya kusoma ili ubishe
Sasa unacho bisha ni kitu gani?
Yakuwa sio kweli kuwa America ya kusini na Africa ndo sehemu yenye wakatoliki wengi kuliko sehemu nyingine au ?

Ww ndo kilaza kwa sababu mm nimeweka takwimu za jumla ya population ya wakatoliki wote duniani lakini ww unaniletea takwimu za nchi moja moja.
Kwa hiyo kwa sababu Uturuki ni taifa lenye waisilam wengi basi ndo kielelezo cha Ulaya kuwa na waisilam wengi kuliko Asia au Africa?
 
Pia hajaona pia Papa akienda huko Uarabuni anavyopokelewa kama mfalme.
Hujui kuwa papa ni kiongozi wa nchi hivyo anapewa heshima kwa itifaki za kuserikali?
Wakatoliki siwalikuwa wanaupinga mkataba wa bandari ,vip mbona ulipitishwa na hakuna chochote walicho kifanya.
Mbona kagame kafunga mamia ya makanisa na hawajamfanya chocho?
 
Alipaswa kufanya zaidi
Wakati wake uliitwa wakati wa ukapa maisha yalikuwa magumu sana huku akibinafsisha (uza) taasisi na mashirika ya umma kwa kigezo Cha uwekezaji
Japo alihubiri ukweli na uwazi lakini ndio kipindi ambacho Ulimwengu alipitia wakati mgumu sana
Suala la barabara wakati wa kikwete ndio zilisambaa zaidi kuliko wakati wa Mkapa
Hawa warumi ndio wamesababisha hadi Sasa asilimia kubwa ya watanzania wanaamini Bora kutawaliwa na muislam kuliko mkristo(huu ni ukweli unaouma) kwa sababu ya ubinafsi wao
Hapa mtaani yuko mwenyekiti ni mrumi dah🙌🙌🙌🙌mtaa wa jirani yupo sio mrumi 👏👏👏👏ila ndio hivyo warumi fanyieni kazi ubinafsi ni mkubwa sana
Warumi ni watu wa kazi
 
Sasa unacho bisha ni kitu gani?
Yakuwa sio kweli kuwa America ya kusini na Africa ndo sehemu yenye wakatoliki wengi kuliko sehemu nyingine au ?

Ww ndo kilaza kwa sababu mm nimeweka takwimu za jumla ya population ya wakatoliki wote duniani lakini ww unaniletea takwimu za nchi moja moja.
Screenshot_20241128-164555_ChatGPT.jpg

Ulisema South America, hapo nimekuwekea Data za South na North Amerika. Ukichukua hizo data za South Merika na Afrika hazifiki hiyo percent uliyoiweka, ambayo ulilenga kuonyesha South Amerika na Afrika zina 70% ya waumini wote wa Catholic duniani.

Ukasema Afrika ni Masikini kwa kuwa ina waumini wengi wa katoliki kuliko Ulaya ambao ukadai maendeleo yao ni sababu wameachana na ukatoliki, haya angalia takwimu wakatoliki waliopo Ulaya Vs Afrika.

Kwa hiyo kwa sababu Uturuki ni taifa lenye waisilam wengi basi ndo kielelezo cha Ulaya kuwa na waisilam wengi kuliko Asia au Africa?
nimekutengenezea kila kitu , kilichobaki kwa jinsi unavyojibu unaonyesha ufinyu wako wa namna ya kusoma na ku interprete data.
 
Tuambie sasa kati ya Marekani, wayahudi,na Roman katoliki nani mtawala wa dunia maana leo mnamsema huyu kesho mnamsema huyu sasa mnataka tuwaeleweje?

Acheni tabia ya kilishana matango poli Roma haitawali dunia bali ina ushawishi sehemu ambapo kuna wafuasi wake wengi.
Aya Niambie mashariki ya kati,Ulaya mashariki,Asia ya kati,Asia ya mashariki hata hapo Africa ya kaskazini papa ana nguvu gani?
Hapo Rwanda si kagame kafunga mamia ya parokia za kikatoliki huyo papa kamfanya nini.
Mwaka jana nchini Nikaragwa mamia ya mapadili na maasikofu walitia ndani baada ya kungilia majukumu ya serikali na papa hakufanya chochote.
Hapa Tz serikali ya CCM ndo inayo walea ili kuwatumia kwenye masilahi yake lakini wakiamuwa kuteketeza na kuviuwa hivyo vitaasisi vyenu ni chapu na haraka na papa hana uwezo wa kufanya chochote.
Ni kwamba Hadi Leo wanakusanya Hela za watu mbalimbali Kutoka mataifa mbalimbali Duniani.
Hii kimantiki ipoje?
 
Watakwambia ni conspiracy theories tu hizo wakati hata Captain Smith alikuwa ni miongoni mwao.
Captain Smith alipewa maagizo aendeshe meli kwa Speed kubwa bila kujali hatari ya eneo walilokuwa wanapita.

Mwisho na yeye ali commit suicide kwa kile kilicho dhaniwa kwamba ni msongo wa mawazo juu ya ukatili ule aliofanya.
 
Captain Smith alipewa maagizo aendeshe meli kwa Speed kubwa bila kujali hatari ya eneo walilokuwa wanapita.

Mwisho na yeye ali commit suicide kwa kile kilicho dhaniwa kwamba ni msongo wa mawazo juu ya ukatili ule aliofanya.
Kwasababu haiwezekani kabisa Captain mwenye experience ya miaka 25 kupita eneo hilo na ukapewa telegram muda wote kuhusu hali mbaya mbele bado ukomae meli iende full ahead.
 
Back
Top Bottom