Alipaswa kufanya zaidi
Wakati wake uliitwa wakati wa ukapa maisha yalikuwa magumu sana huku akibinafsisha (uza) taasisi na mashirika ya umma kwa kigezo Cha uwekezaji
Ulikuwa ni wa Ukapa sababu aliamua kukusanya pesa kutoka mikononi wa watu na kuzipeleka treasury. Zilipofika hazina akazitumia kulipa madeni ya ndani a nje. Kumbuka kuwa tulikoa je ulitaka tusirudishe mikopo? Wafanyakazi wa serikalini hawakuwa na hadhi, ni wakati wa Mkapa watu walianza ku feel hadhi ya kuajiriwa serikalini. Walilipwa madeni mbalimbali yakiwemo malimbikizo ya mishahara. Wakaanza kulipwa mishahara ndani muda. Wafanyabiashara ambao walizoea kuishi kijanja huku kodi hawalipi ndiyo wakaanza kuiimba wimbo wa 'Ukapa'.
Ni wakati wa Mkapa watu wakaanza kujenga nyumba za maana za kuishi, ni wakatti huo Mbezi beach na Mikocheni na Msasani zikafunguka hasa kwa kujengeka. Watu wakaiona thamani ya hela, Jiji likaanza kuwa safi.
Tuliokuwa Dar miaka hiyo tunakatisha tunatembea huki posta tunakwepa vinyesi vya wahindi ambavyo wamevifunga kwenye mifuko ya Rambo na kuvitupa barabarani. Jiji lilikuwa linanuka hasa na hakuna wa kufanya usafi.
Wakati wa Mkapa yote yalirekebishwa
Japo alihubiri ukweli na uwazi lakini ndio kipindi ambacho Ulimwengu alipitia wakati mgumu sana
Suala la barabara wakati wa kikwete ndio zilisambaa zaidi kuliko wakati wa Mkapa.
Mkapa aliacha beacon za Uchumi ziiwa itact, Kikwete aliwahi kukiri kwamba, kwenye swala la barabara Mkapa alacha Pesa yote ya miradi ya barabara iliyotekelezwa katika kipindi chake na hata hazia alikuta pesa ya kutosha.
Hawa warumi ndio wamesababisha hadi Sasa asilimia kubwa ya watanzania wanaamini Bora kutawaliwa na muislam kuliko mkristo(huu ni ukweli unaouma) kwa sababu ya ubinafsi wao
Hapa mtaani yuko mwenyekiti ni mrumi dah🙌🙌🙌🙌mtaa wa jirani yupo sio mrumi 👏👏👏👏ila ndio hivyo warumi fanyieni kazi ubinafsi ni mkubwa sana
Hizi ni story tu ambazo mkishasimuliwa wasikilizajimnaitikia Aamin na nyinyi mnazibeba kwenda kusimuliwa.
Nchi zenu ni za hovyo, watu wa hovyo halafu mkiwapa madaraka wanaishia kufanya mambo ya hovyo, baada ya hapo badala mlaumiane, mkosoane na kujfuza ili mjijenge, mnatufata vitu vya kufikirika ili mvilaumu. Katiba hamtaki ibadilishwe mnataka kulaumu vitu vya kufikirika. Mnaandaa uchaguzi, halafu mnauharibu wenyewe huku watu wakitekwa na kuawa, bado mnarudi vijiweni kulaumu vya kufikirika.
Kumbe tatizo la watanzania siyo CCM na serikali yake bali ni Warumi.
Acha CCM iendelee kuwanyeeni vichwan