Katika Empire zote zilizowahi kuwepo duniani, Roman Empire bado inaendelea kutawala

Katika Empire zote zilizowahi kuwepo duniani, Roman Empire bado inaendelea kutawala

Usiingize mambo ya imani kwenye haya mambo, Jesuits ni adui wa kila mmoja sio wasabato tu.

Siku ukijua ni nani waliohusika kuzamisha meli ya Titanic ndyo utaua Jesuits Ni watu wa aina gani.
Nimesema hivyo kwa sababu wa Wasabato ni watu wa kuzusha mambo mabaya juu
ya kanisa Katoliki. Jesuits ni religious order hawawezi kuua watu wasio na hatia mkuu.

Kwani walikuwa na kosa gani mpaka wazamishe hiyo meli ya Titanic ni uchunguzi gani
ulionesha hivyo. ?
 
Fafanua vizuri kiongozi
Tawala za Dunia
Babilonia - Ilipinduliwa na Medo-Persia.

The Medo-Persia Ilipinduliwa na Greece.

Greece Ilipinduliwa na Romans.

Romans haijapindiliwa, bado IPO madarakani. Badala yake imegawanyika, ikiwa na washirika Ulaya na America.

Jitihada za kuiunganisha Iron and Steel, EU, UN etc hazifanikiwi.
 
Kwa sababu wanakuwa na mipango ya muda mrefu wa maendeleo.
Sidhani labda uniambie kipi wamefanya ambacho wengine hawakufanya ili kusema wao wamekuwa na mipango ya mda mrefu
Hii nakupa kama assignment anza kuwaangalia viongozi warumi ni wabinafsi mno.
Na Wana unafiki flani ambao huwezi kuuona kirahisi maana hujivika unyenyekevu
 
Tawala za Dunia
Babilonia - Ilipinduliwa na Medo-Persia.

The Medo-Persia Ilipinduliwa na Greece.

Greece Ilipinduliwa na Romans.

Romans haijapindiliwa, bado IPO madarakani. Badala yake imegawanyika, ikiwa na washirika Ulaya na America.

Jitihada za kuiunganisha Iron and Steel, EU, UN etc hazifanikiwi.
Safi kwa uchambuzi mzuri. Hongera sana.
 
Sidhani labda uniambie kipi wamefanya ambacho wengine hawakufanya ili kusema wao wamekuwa na mipango ya mda mrefu
Hii nakupa kama assignment anza kuwaangalia viongozi warumi ni wabinafsi mno.
Na Wana unafiki flani ambao huwezi kuuona kirahisi maana hujivika unyenyekevu
Hujui kazi kubwa iliyofanywa na Ben Mkapa. Kuweka mifumo imara ya kitaasisi
Tanzania, kulipa madeni ya nchi hii na kuweka misingi imara ya miundo mbinu
kama barabara.
 
Usiingize mambo ya imani kwenye haya mambo, Jesuits ni adui wa kila mmoja sio wasabato tu.

Siku ukijua ni nani waliohusika kuzamisha meli ya Titanic ndyo utaua Jesuits Ni watu wa aina gani.
Hutaki wasabato waguswe ila unataka wengine ndiyo waguswe?
Adui wa kila mmoja? Hao akina kila mmoja ni akina nani? Adui kwako ndiye unamtangaza kuwa ni adui wa kila mmoja? Au sababu umesoma chapisho la mtu mwenye akili na mitazamo kama yako ?
 
Ni kweli mkuu ndio maana nikamwambia kama ni hao watu n wazushi sana

au labda nae ni wa huko huko.
 
Hujui kazi kubwa iliyofanywa na Ben Mkapa. Kuweka mifumo imara ya kitaasisi
Tanzania, kulipa madeni ya nchi hii na kuweka misingi imara ya miundo mbinu
kama barabara.
Alipaswa kufanya zaidi
Wakati wake uliitwa wakati wa ukapa maisha yalikuwa magumu sana huku akibinafsisha (uza) taasisi na mashirika ya umma kwa kigezo Cha uwekezaji
Japo alihubiri ukweli na uwazi lakini ndio kipindi ambacho Ulimwengu alipitia wakati mgumu sana
Suala la barabara wakati wa kikwete ndio zilisambaa zaidi kuliko wakati wa Mkapa
Hawa warumi ndio wamesababisha hadi Sasa asilimia kubwa ya watanzania wanaamini Bora kutawaliwa na muislam kuliko mkristo(huu ni ukweli unaouma) kwa sababu ya ubinafsi wao
Hapa mtaani yuko mwenyekiti ni mrumi dah🙌🙌🙌🙌mtaa wa jirani yupo sio mrumi 👏👏👏👏ila ndio hivyo warumi fanyieni kazi ubinafsi ni mkubwa sana
 
Angalia kanisa Katoliki, Vatican ni kila kitu, Trump ataenda kupasalimia ndipo aanza kazi.
Roman Empire ni Kanisa Katoliki ? At its Peak who was the Leader na Alikuwa anawafanya nini Wakristu (Wayahudi)..., Ni kwamba Mfalme (ambaye sasa hivi anaitwa Mtakatifu) Constantine aliona kwamba kuna wakristu waliokuwepo wengi akaona akisema ametokewa na ameokoka kuwa Mkristu na sio Mpagani tena atapata jeshi kubwa kwa siku moja..., Ndio hicho hicho kama walivyofanya wengine kina Persia et al na Dini ya Islam...

In short its just a vehicle towards Power..., kama ilivyo leo hii watu kutafuta Kura ili waende Kula....
 
Kutawala ni nini na Empire ni Nini ? Au habari ya Rise and Fall of Roman Empire ilikupita Kando ? Au leo hii zile West African Empires ambazo zote zilikuwa zinabadilishana na kutawala palepale tuchague moja tuseme ipo mpaka leo...
 
Tawala za Dunia
Babilonia - Ilipinduliwa na Medo-Persia.

The Medo-Persia Ilipinduliwa na Greece.

Greece Ilipinduliwa na Romans.

Romans haijapindiliwa, bado IPO madarakani. Badala yake imegawanyika, ikiwa na washirika Ulaya na America.

Jitihada za kuiunganisha Iron and Steel, EU, UN etc hazifanikiwi.
Kutawala watu kiimani za dini haimanishi bado utawala wako ni superior,empire kutawala maana yake ni kuongoza kiuchumi na kijesho na sio nadharia zako za kiimani.
USA leo ndio mtawala wa Dunia,anaweza akaamua akafanya kama wenzie kuanzisha imani zao binafsi,kama alivyofanya England kuuukataa imani za kiromani na kuanzisha Uangilikana.
 
Back
Top Bottom