Tuambie sasa kati ya Marekani, wayahudi,na Roman katoliki nani mtawala wa dunia maana leo mnamsema huyu kesho mnamsema huyu sasa mnataka tuwaeleweje?
Acheni tabia ya kilishana matango poli Roma haitawali dunia bali ina ushawishi sehemu ambapo kuna wafuasi wake wengi.
Aya Niambie mashariki ya kati,Ulaya mashariki,Asia ya kati,Asia ya mashariki hata hapo Africa ya kaskazini papa ana nguvu gani?
Hapo Rwanda si kagame kafunga mamia ya parokia za kikatoliki huyo papa kamfanya nini.
Mwaka jana nchini Nikaragwa mamia ya mapadili na maasikofu walitia ndani baada ya kungilia majukumu ya serikali na papa hakufanya chochote.
Hapa Tz serikali ya CCM ndo inayo walea ili kuwatumia kwenye masilahi yake lakini wakiamuwa kuteketeza na kuviuwa hivyo vitaasisi vyenu ni chapu na haraka na papa hana uwezo wa kufanya chochote.