Mapenzi ya Mungu
JF-Expert Member
- Feb 22, 2025
- 317
- 290
Ndio maana huwa wanachukua mwenza nini!? Ili ujinafasiKero za mwenza wangu kubadilisha badilisha designs ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ kila baada ya wiki anakuja na jambo jipya.
Kujenga Nyumba bila mweza inakubalika kweli๐๐๐๐๐Ngoja tutafakariKero za mwenza wangu kubadilisha badilisha designs ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ kila baada ya wiki anakuja na jambo jipya.
Kazi nyingine bwana kweli sio kazi๐๐๐๐Hapo KUPAUA..unaona kbx umaskini unauchungulia
2050 vitapanda mara dufuMambo ya nyumba hasa kwa mwaka 2025 ,vitu vimepanda bei sana.
Bora walionga 2023 kurudi nyuma , sasa hivi pesa inaenda bila ya kufika hatua ya maana ... Mafundi wanapenda hela kwa sababu maisha yamepanda sana.2050 vitapanda mara dufu