Katika harakati za kusaidia jamii ya Afrika

Katika harakati za kusaidia jamii ya Afrika

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,357
Reaction score
1,596
Habari za majukumu wanaJF

Leo ningependa kutambulisha tovuti zangu

Katika harakati za kusaidia jamii ya kiafrica kujiajiri au kutumia mitandao kujipatia kipato,
niliamua kuanzisha tovuti mbali mbali ili kusaidia jamii ya africa kujiari, lengo langu kubwa ni watu kutumia mitandaon kujipatia kipato.

Moja ya tovuti nilizoazisha ni pamoja na

HULAPP.COM

Hulapp.com ni nini?. hulapp.com ni tovuti ya kutafuta huduma mtandaoni( On-demand Service Software).
lengo la kuanzisha huduma hii ni kusaidia vijana ambao hawana ajira kujiajiri wenyewe.huduma hii inakusaidia kukuonganisha na wateja wanaotaka huduma yako mtandaoni au kweye eneo lako la kazi au la mteja wako.
NB: tovuti hii bado iko kwneye marekebisho ila napokea ushauri kama kuna kasoro umeiona.

Shopconi.com : baada ya kuona watu wanaangaika sana kuuza au kununua bidhaa mtandaoni, niliamua kuanzisha tovuti hii kwa lengo la kuwezesha watu kuuza na kununua bidhaa mtandaoni na kufanya malipo moja moja mtandaoni, hii ni kama alibaba.com, na nitofauti kabisa na zoomtanzania, kupatana. huduma hii ni bure, ila unapaswa kujisajili kabla ya kuuza chochote, huduma inapatikana kwenye tovuti, hvi karibuni itakuwa kwenye app(iphone and Android). hii imekamilika kwa asilimia 70 na iko hewani.

Moja sifa ya tovuti hii na ya kipekee, huwezi kuweka card zako mtandaoni kama vile alibaba au amazon.(inatumia mfumo wa kuweka pesa kwenye account yako bila kusave kadi yako kwenye account yako)
NB: tovuti hii bado iko kwneye marekebisho ila napokea ushauri kama kuna kasoro umeiona.

Slipdor.com : Tovuti hii nilianzisha kwa leo la watu kufanya booking mtandaoni kama vile, hotel, show, event , ikiwa una event yako unaweza kupost kwenye tovuti hiii na watu wakafanya booking online.(huduma hii bado imekamilika kwa asilimia 60) itakuwa hewani hvi karibuni.)

Fastcuk.com Tovuti hii ni maalumu kwa ajili ya kuuza vyakula mtandaoni(food and Groceries). hivi karibu itakuwa tayari kwa matumizi.

Tanzapp.com tovuti ya kutafuta wapenzi mtandaoni(hii bado)

Baada ya tovuti zote kukamilika , Nitaanzisha kampuni itakayoitwa Hulapp Ltd
 
Back
Top Bottom