Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
>>>Inawezekana ni mkakati Mamelodi apewe mpinzani mkali ili asisonge mbele .
>>>Inawezekana ni mkakati ili Waarabu Al ahly na ES TUNIS wafike mbali .
Sababu kuu tatuBinafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa .
Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
Uko sahihiSababu kuu tatu
1. Kibiashara zaidi yanga na simba wana mashabiki wengi sana nadhani kuliko nchi zote Africa
2. Kuionyesha dunia kwamba tuna mashindano pendwa ya mpira Africa
3. Kuionyesha dunia kwamba africa kuna club zilizoongezeka kiushindani ambazo ni simba na yanga, kumbe nchi moja inaweza kutoa zaidi ya club mbili ama zaidi kwenye mashindano ya club bingwa africa, natamani kuziona Yanga na Simba siku moja zikifika finali la kombe hili la mashindano ya kutafuta club bora na shindani za Africa
Wamekuelewa vyema mkuuMods ondoeni hii takataka humu ndani iliyoletwa na punguani flani hivi!
Na wanawewesekaa haswaaa hapo kidimbwiii.Mamelodi imesababisha mnaweweseka hapo jangwani.